Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nilishawaambia tuwewapiga gap kwenye airports pia Tony254 akabisha! sasa ku-mention airports zao mbovumbovu kaamua kuzikana! wangoje gap lingine kwa SGR baada ya train zetu kuwasili toka South Korea! Kwenye marine services hawatukaribii hata kiduchu as far as marine vessels operation is concerned!
Longest kilometres of railway nayo tumewaacha mbali
 
Watanzania kama mmeanza ku notice ni kwamba wakunya wameshaanza kuiogopa Tanzania, wameanza kudevelop kamsemo kwmb projects zote za Tz zinafanywa na serikali, for that issue it means they have agreed that our Government is strong enough to finance big projects, na kwmb wamekubali hata hii SGR from Dar to Moro has been financed by the mighty GoT(case closed).

Kuhusu serikali ya Tanzania kufanya kila kitu we have nothing to do with that shit because hatujaikataza serikali yao iache kuomba omba na kutia aibu East Africa, cz tunajua ni shida tu ndo zinafanya wajidhalilishe.

So ndugu zangu tuanze kutembea kifua mbele mana hawa monkeys wameshaanza kutuhofia, nenda platforms zote wimbo wao kwa ss ni huu "GoT inafanya kila kitu" as if ni dhambi kufanya hivyo
Wao husuburi mchina awafanyie kila kitu
 
Sasa watanzania sababu forum ni yenu mko weeengi mnasaidiana kueneza uwongo huku mkilemea wakenya wachache wako hapa
Muongeaji ni huyu 🤣🤣🤣👇👇👇
C6C51243-4A3E-41F9-A5D0-0834F60B2141.jpeg
 
Oya hawa monkeys mbn siwaoni humu saizi bhn au wanajifanya wamesusa km kawaida yao, nna hamu ya kulamba makalio ya mtu now
 


and why are your road networks so poor mnajenga tu dar lakini kwingine mnawacha kubovu. maajabu
 
Mbona hata kenya mmepave only 10% au mmesharidhika?
Some real data usiongee tu ndo kufurahisha roho sisi almost 70% is in good condition not that terrible state nimeona hapo hata nimeshtuka kumbe ni kelele tu mtandaoni ilihali hakuna kitu mnafanya kurembesha tu mji mikoani kunaoza
 
Some real data usiongee tu ndo kufurahisha roho sisi almost 70% is in good condition not that terrible state nimeona hapo hata nimeshtuka kumbe ni kelele tu mtandaoni ilihali hakuna kitu mnafanya kurembesha tu mji mikoani kunaoza
70% ur ass
 
Screenshot_20201230-212722_Chrome.jpg

Kumbe tanzania is number 15 of the poorest nations in the world 😂😂😂kelele tu ndo mingi mumezibwa macho mnadanganywa mkijendewa drama tu mnatangaza kwa redio
 
Back
Top Bottom