tuusan
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 17,973
- 20,222
Hawa mostly wanachill maeneo kama hayaHaya basi middle class yenu inaishi wapi na shopping pia wanafanya wapi. Lete hoja.
Hawa mostly wanachill maeneo kama hayaHaya basi middle class yenu inaishi wapi na shopping pia wanafanya wapi. Lete hoja.
Wapi huku alafu wewe binafsi unalinganishaje kenya na tz real estate.Hawa mostly wanachill maeneo kama haya View attachment 1663077
Unajua kabisa haya maisha ya gatedcommunity hapa Tanzania hua sio kivile. ...uku tunajiachia zaidi kivingineWapi huku alafu wewe binafsi unalinganishaje kenya na tz real estate.
wataelewa tu
Shukran,,Unajua kabisa haya maisha ya gatedcommunity hapa Tanzania hua sio kivile. ...uku tunajiachia zaidi kivingineView attachment 1663078
Kwa real estate Tanzania inaongoza ukanda huu ila denial stage haitokuruhusu ukubali.Wapi huku alafu wewe binafsi unalinganishaje kenya na tz real estate.
Hii yote ni ndani ya 4yrs ya Magu, yn wamepambana tangu Uhuru wkt huo sisi hatudeal na uchumi, now tumeanza ku deal na uchumi miaka 4 tu imetosha








Sio cc ni WBWapi huku alafu wewe binafsi unalinganishaje kenya na tz real estate.










Venus Star bandari la Mombasa lilipakua tani milioni 34 mwaka uliopita.Iyo ni hatua kubwa sana...nabado wanatanua bandari walau tufike tani milioni 30
vip mwaka huu.....?
Si ni kweli. Somalia hawawezi kutufanya lolote. Wameinvest Nairobi sehemu inayoitwa Eastleigh. Wanapenda kuja Kenya kuinvest.Anhaa ngoja wakuskie!
Mwaka huu haujaisha ndio maana nashangaa vipi unataka upewe data ya mwaka huu ilhali mwaka huu unaisha kesho? Ngoja uishe kwanza ndio upate data.vip mwaka huu.....?
Proof please....
Ukimaliza kulia ...kula na hiii



Kubong'oa ndio kufanya nini?Vp unaahidi nn ITX trains zikiingia hapo January uko tayari kubong'oa? Watu wale boga?
Wewe huna ulijualoMwaka huu haujaisha ndio maana nashangaa vipi unataka upewe data ya mwaka huu ilhali mwaka huu unaisha kesho? Ngoja uishe kwanza ndio upate data.
Cc Venus Star
Na ufyate mdomo wako ukishasoma hii article. Wewe na Geza Ulole hamtaki kukubali reality kuwa airports za Kenya zinapokea abiria wengi kuwashinda na ports za Kenya zinapakua mizigo mengi kuwashinda. Sasa soma hii ba mdogoProof please....