Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Neno international sio lazima litumike hapo. Hio haijafikia international standards. Pengine neno international linatumika tu ili kuashiria kuwa raia wa Somalia wanapenda kutumia airport hio wanapokuja Kenya. Halafu wanaconnect to Nairobi.
Wanapenda au mnawalizimisha?
 
Hakuna. Ndio maana nimesema kuwa uchumi wenu unacontroliwa na serikali na waarabu na wahindi. Nyie Waafrika weusi mpo zero.
Wote hao ni wazaliwa wa Tanzania, babu zao walizaliwa Tanzania, Mo hana jamaa wala ndugu yeyote India, tofauti na ninyi 90% ya private sector owners ni wazungu, hata sio raia wa Kenya.

Huku Tanzania, Private sector ni 20%, public sector ni 80%, Kenya private sector ni 90% na Public ni 10%[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
If ur counties call them airports who r u to argue them?
Ndio hizi airports zetu zote. Zi nane pekee. Hizo zingine akina Migori sijui voi ni mavi ulikuwa unapost. Hizo hata hazipo listed kama airstrips wala airports.

Q
Screenshot_20201230-115408.jpg
 
Kwa haraka haraka ni kwamba Dar kwa ss kuna flyovers 4, mbili kati ya hzo ni U/C, 7 ni proposed, kuwa mvumilivu utazoea tu na km inauma tutapaka mafuta isiume sn[emoji3][emoji3][emoji3]
Kumbuka [emoji3516][emoji3516] ni classic flyovers na co jua kali type a.k.a tofali [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Ndio hizi airports zetu zote. Zi nane pekee. Hizo zingine akina Migori sijui voi ni mavi ulikuwa unapost. Hizo hata hazipo listed kama airstrips wala airports.

QView attachment 1662781
Hz zote umelist hapa ni ushuzi wa bundi, hakuna hata moja inayokaribia Zanzibar airport achilia mbali JNIA [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Halafu kumbuka Jomo Kenyatta international airport pekee inapokea abiria wengi kushinda airports zenu zote na airstrips zenu zote.
Tumeshalifanyia kazi hili, pia hata port tayari tushamaliza mchezo so subiri data mpya.

Hakuna kitu hata kimoja Kenya inapaswa kuizidi Tz labda ukabila, njaa, umasikini uliopitiliza, nepotism, ushenzi na magonjwa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom