Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,919
- 103,791
kitale Airport
Hio airport iko tu sawa. Wajir ni jangwa na ina population ndogo sana.Wajir International Airport 🤣 🤣 👇
![]()
Kwasababu tulianza kujenga msingi imara wa nchi yetu kwa kufuta ukabila na chuki miongoni mwa raia wetu, ninyi mlianza kujenga marimba, sasa hivi kila uchaguzi mnachinjana kama kukuNyinyi mumeanza kujenga haya majengo ya apartments juzi tu. Dar haina haya majengo ya arpatments mengi. Nairobi yamejaa.
Tony254 hukuwa unaijua vzr Tz but now u know, so I hope u are going to be a good ambassador wa TzYaani nyinyi mna barabara moja tu ambayo mnazungusha kwenye uzi huu kila siku.


Hio article haijasema kuwa mliagiza KTX trains. Ongojeeni gongo la chang'aaSoma hapa
![]()
South Korean firm to supply SGR trains to Tanzania
The start of the modern train services in Tanzania is moving closer after the government signed $60 million (about Sh138 billion) contracts with a South Korean firm to supply trains for the...www.thecitizen.co.tz
Nilikuambia nitakupa ushahidi ifikapo April 2021,tuliza mshonoHakuna ushahidi wowote kuwa train yenu itakuwa KTX. joto la jiwe alishindwa kuleta ushahidi.
Basi jiandae maana viongozi wetu hawatuangushagi kwenye vitu modern kama hivi, mfano halisi ni BRTIkiwa train yenu itakuwa KTX basi nitakuja la sivyo siwezi kuja.
Hakuna kampuni lolote la Media Kenya linafikia Azam media katika kila eneo.Imefikia Nation media group (NMG) au standard group (SG) kwa ukubwa? Geza unajua vizuri kuwa kampuni za media za Kenya ni kubwa sana na hizo mbili nilizotaja ni kubwa kimapato kushinda kampuni yoyote ya media ya TZ.
international sio?Hio airport iko tu sawa. Wajir ni jangwa na ina population ndogo sana.
Ni ipi iyooo embu niambieYaani nyinyi mna barabara moja tu ambayo mnazungusha kwenye uzi huu kila siku.



Kama kuna EMU inafanana na gongo la chang'aa sawaHio article haijasema kuwa mliagiza KTX trains. Ongojeeni gongo la chang'aa






Hakuna. Ndio maana nimesema kuwa uchumi wenu unacontroliwa na serikali na waarabu na wahindi. Nyie Waafrika weusi mpo zero.Kuna private company gani Kenya lenye kuzidi Azam na Mohamed Enterprises?
Onyesha aina za trains zinazotengenezwa South Korea, kisha wewe ndio useme ni aina gani ya trains tumeagizaMust include KTX bwana. Wacha mchezo.


Hizi zote unazopost ni airstrips. Rudi darasani ukajifunze tofauti kati ya airport na airstrip. Kenya haina zaidi ya airports nane. Hizo zingine zote ni airstrips.Migori Airport
![]()
If ur counties call them airports who r u to argue them?Hizi zote unazopost ni airstrips. Rudi darasani ukajifunze tofauti kati ya airport na airstrip. Kenya haina zaidi ya airports nane. Hizo zingine zote ni airstrips.
Sasa mlikuw mnaponda nini kumbe mnauchafu kibao....izo syo airport ni vyooHio airport iko tu sawa. Wajir ni jangwa na ina population ndogo sana.
Hio article haijasema kuwa mliagiza KTX trains. Ongojeeni gongo la chang'aa