Tony254
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 16,016
- 16,433
Ikiwa train yenu itakuwa KTX basi nitakuja la sivyo siwezi kuja.😀 Tony wewe nina uhakika lazima uje kuexplore Tz SGR ikikamilika
Ikiwa train yenu itakuwa KTX basi nitakuja la sivyo siwezi kuja.😀 Tony wewe nina uhakika lazima uje kuexplore Tz SGR ikikamilika
Is KQ private or Public company?Zaidi ya 50%? Naomba ufahamu kuwa katika sector binafsi, yeyote anayemiliki zaidi ya asilimia hamsini (50%) ya shares ya kampuni ndiye anayecontrol kampuni.
Hatuna airport inayoitwa Voi. Hiyo ni airstrip iliyo kwenye misitu huko jangwani.Na hii huko Voi?
![]()
Must include KTX and Tanzania
Unajitoa akiliKwa hivyo kwenye public sector serikali na halmashauri za kiserikali ndizo zinatumika kujenga uchumi wenu halafu kwenye private sector basi ni makampuni za wahindi na waarabu. Okay nimeelewa sasa.





hii umeielewa kweli?Wacha kabisa mkuu, niliweka picha hapa eti Tony254 akasema ni kwasababu mpya wkt ishapiga mzigo vya kutosha kabisa, hajui kwmb ili uwe na wateja bongo inatakiwa uwe na bus za kisasa, ona eti tony anasema ni mpya hiiNasikia basi used za kutoka bongo zina soko kubw pale kenya kina abood wakiagizaga gari mpya za zamani wanauza kenya ili nao wapate ladha.




Yaani nyinyi mna barabara moja tu ambayo mnazungusha kwenye uzi huu kila siku.Sasa kuna emotions gani ....au hupendi kuambiw ukwelitaguta kunya nzima vitu classic km hivi km utapataView attachment 1662759View attachment 1662761
Hatuna airport inayoitwa Voi. Hiyo ni airstrip iliyo kwenye misitu huko jangwani.
Tanzania ni ya kijamaa, msingi mkubwa wa ujamaa ni public ownership of Economy, kwa hivyo usijaribu kutaka kutuingiza katika uchumi wa manyang'au ambapo watu wachache binafsi ndio wenye kumiliki uchumiKwa hivyo Tanzania nyie hamna private companies kubwa? Ndio maana nimekuwa nikisema kuwa private sector ya Tanzania ni ndogo sana.
Wewe jamaa ni mjinga mno.Imefikia Nation media group (NMG) au standard group (SG) kwa ukubwa? Geza unajua vizuri kuwa kampuni za media za Kenya ni kubwa sana na hizo mbili nilizotaja ni kubwa kimapato kushinda kampuni yoyote ya media ya TZ.
Samburu airport!Yaani nyinyi mna barabara moja tu ambayo mnazungusha kwenye uzi huu kila siku.
Soma hapaMust include KTX and Tanzania


Kuna private company gani Kenya lenye kuzidi Azam na Mohamed Enterprises?Wasafi media ondoa kwenye listi. Wacha ujinga. Hio ni kampuni ndogo sana.
Weka ushahidi kwamba itakuwa ni KTX trains.Twende taratibu tu utatepeta mbele yangu. Hapa tunaongelea SGR Kenya vs Tanzania
View attachment 1662760