The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,485
- 98,534
Kweli ww nmeamini ni mgeni humu, hyo ligi tulishaimaliza kitambo humu rudi juu.Chukua hioView attachment 1662733
Kweli ww nmeamini ni mgeni humu, hyo ligi tulishaimaliza kitambo humu rudi juu.Chukua hioView attachment 1662733
Kwahiyo siyo private!?Wasafi media ondoa kwenye listi. Wacha ujinga. Hio ni kampuni ndogo sana.
Jibu swali. Overpass lenyewe limefikisha kilomita moja?Unaniuliza mm ss, sisi hatuwezi weka uchafu nchini kwetu![]()
Kwn hapo ni wapi.Jibu swali. Overpass lenyewe limefikisha kilomita moja?
Nimesema unitajie kampuni kubwa private halafu unanitajia Wasafi media. Hao wanaweza kujenga skyscrapper hata ya ghorofa kumi kweli?Kwahiyo siyo private!?
Ubungo flyoverJibu swali. Overpass lenyewe limefikisha kilomita moja?
zipo METL n Bakhresa Group the largest in EA! then IPP Media Group, Infotech Investment Group, Azania Group, Mirambo holdings, motisun Group, Kamal group n so many! u have to refine ur knowledge in Finance especially on Investment area! U r mixing up things!Kwa hivyo Tanzania nyie hamna private companies kubwa? Ndio maana nimekuwa nikisema kuwa private sector ya Tanzania ni ndogo sana.
Huyo kweli pimbi.Nimesema unitajie kampuni kubwa private halafu unanitajia Wasafi media. Hao wanaweza kujenga skyscrapper hata ya ghorofa kumi kweli?
Maneno ya mkosaji.Kweli ww nmeamini ni mgeni humu, hyo ligi tulishaimaliza kitambo humu rudi juu.
Sasa hujui kuwa kuna wasafi Tower inajengwa. Upo usingizi wa ponoNimesema unitajie kampuni kubwa private halafu unanitajia Wasafi media. Hao wanaweza kujenga skyscrapper hata ya ghorofa kumi kweli?
Kwa hivyo kwenye public sector serikali na halmashauri za kiserikali ndizo zinatumika kujenga uchumi wenu halafu kwenye private sector basi ni makampuni za wahindi na waarabu. Okay nimeelewa sasa.zipo METL n Bakhresa Group the largest in EA! then IPP Media Group, Azania Group n so many!
Hahahaaaa, Ubungo ndo iwe hvyo, wallahi ww tony co mzima wwUbungo flyover





Yepi akazane sana hao jamaa walikua na speed kali
Iyo takataka tuNasema tena dar ipo moja tena ya msaada, unapinga.View attachment 1662725
Jengo linajengwa na wasafi media? Jina kufanana sio ushahidi kuwa wasafi media ndio wajenziSasa hujui kuwa kuna wasafi Tower inajengwa. Upo usingizi wa pono
View attachment 1662742
Tatizo lako ni wivu. Hao wote ni watanzania kijana. Halafu kumbuka Tanzani ipo na more than 100,000 private companies. Unatakiwa uheshimu hilo. Hahahaha unaumia sana kila kona tunakugonga tu.Kwa hivyo kwenye public sector serikali na halmashauri za kiserikali ndizo zinatumika kujenga uchumi wenu halafu kwenye private sector basi ni makampuni za wahindi na waarabu. Okay nimeelewa sasa.
Iyo sio washroom?Hii ni picha za zamani sana. Najua ulitaka kuwachekesha Watanzania wenzako. Lakini Lodwar airport ya sasa ndio hii hapa
View attachment 1662720