Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

First stop calling me young men ,fool, second just because goverment provide data does not mean its accurate ,mfano serikali ilikuwa inatuaminisha makusanyo ya madini ni billion 100+ monthly for decade now, unaweza nambia imekuwaje currently ikashoot mpka 400+ bill? Serikali ilikuwa ina kusanya tax 800 bill per month sasa ni 1+ trill , je inamana izo hela ndio zimeanza kuja juzi kweny circulation ? The answer is no. It was there all long, it was matter of poor supervision
Issue ya middle income ,we were alread MIC way back 2017 ..fool , the currently announcement was just approval by WB
Mind you i dont say i disagree with the provided data i just argue because i use brain compare to you fool who play by the rules
Kwa hivyo serikali yenu inatoa data which is not accurate? 😂 😂 it's only accurate wakati hiyo data has reached a certain figure 😂 😂. I don't mean to insult you but umesoma hadi level gani?

Makusanyo ya serikali has nothing to do with what you think. Makusanyako ya serikali inategemea ni njia zipi serikali inatumia kukusanya mapata. Kuongezeka kwa ukusanyaji wa mapato can simply means that the government has started employing more effective ways of collecting taxes that it did not employ before the increase. A simple thing like digitizing tax collection can go a long way in increasing tax revenues hadi ushangae. Haimanishi kwamba serikali ilikuwa inadanganya katika Kutoa data. You need to look at things from a different perspective.

About uchumi wenu, it doesn't matter which year you became a middle income country. The fact is that the same World Bank waliosema nyinyi ni mido income, is the the World Bank that says our economy is bigger than yours. Ama it's only true when it says something positive about Tanzania? And the same data iko World Bank about your GDP is the same data iko na Tanzania Bureau of Statistics!! Nani waongo sasa? World Bank ama TBS?
 
Jilinganisheni na slums hku mmijifariji, lkn mkumbuke nje ya slums haluna sehemu mnayo tuweza..
Ndio manake pia vile vile tuna rank-wa mbele yenu kw sababu kwenu mnaongoza kw maskini EA
Watawachoka tu one day then watawalisha mavi yenu mashangaa, mbeleko ina mwisho mbaya sana
 
Who said that Kenya is a rich country where such challenges shouldn't exist? Kwa hivyo hata nyinyi world bank wanadanganya kuhusu GDP yenu? Na pia walidanganya waliposema kwamba nyinyi sasa ni mido inkam?
Ww ni kizuu usie elewa ....nimekwambia wao wana kipindi cha mpito kuangalia consistance ya nchi flan kabla hawajakuamisha daraja....na hicho ndicho kilicho fanyika Tz km zilivy fanyiw nchi nyingie pia...lkn haimanish kua 2017 ,18, 19 tulikuw LDC ...sisi tulisha toka hiko
 
Wakunya hii kitu km 12 toka CBD
 
Attachments

  • Screenshot_20201228-235058_Instagram.jpg
    Screenshot_20201228-235058_Instagram.jpg
    114.5 KB · Views: 6
Kwa hivyo serikali yenu inatoa data which is not accurate? it's only accurate wakati hiyo data has reached a certain figure . I don't mean to insult you but umesoma hadi level gani?

Makusanyo ya serikali has nothing to do with what you think. Makusanyako ya serikali inategemea ni njia zipi serikali inatumia kukusanya mapata. Kuongezeka kwa ukusanyaji wa mapato can simply means that the government has started employing more effective ways of collecting taxes that it did not employ before the increase. A simple thing like digitizing tax collection can go a long way in increasing tax revenues hadi ushangae. Haimanishi kwamba serikali ilikuwa inadanganya katika Kutoa data. You need to look at things from a different perspective.

About uchumi wenu, it doesn't matter which year you became a middle income country. The fact is that the same World Bank waliosema nyinyi ni mido income, is the the World Bank that says our economy is bigger than yours. Ama it's only true when it says something positive about Tanzania? And the same data iko World Bank about your GDP is the same data iko na Tanzania Bureau of Statistics!! Nani waongo sasa? World Bank ama TBS?
fool like you talk about my qualification somebody got ajoke aaah...its too difficult to talk with a teacher about economics matters 0 brain like you real make me wonder what exactly are you teaching kids in school

Like i say your too stupidy to understand even your self, unajifunga kama jinga sasa unafikiri serikali mpka iamue kutumia electronic systeam kukusanya mapatao manake nini? Inamana kulikuwa na mapunguf kweny mfumo ulio kuwa unatumika kabla you cant even read between the line what a fool
About WB , You just prove me right about your level of understanding....honestly i real wish to say your level of understanding is diminishing but men your level of understanding was not even there to begin witha poor soul
 
Hellow Kenyani mnakua kama manyani sometimes hamjiongezi mnashindwa kubishana kwa fact achana na wabongo(Bongo) brain achana na watz dunia nzima inaogopa uezi toa ushindi kwa mtz waulize SA walipo weka Airbus yetu garage walichopata dadeq kama wewe ni mbongo una amini kupitia ubongo bongo itafika mbali gonga hapo
 
Back
Top Bottom