President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,030
- 93,387
Wakenya jana walitikisika. Wakaanza kuleta vya kuleta. Leo nataka niwapigilie misumari ya moto.
Hahahahaaa [emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205][emoji87][emoji87][emoji85][emoji85][emoji86][emoji86][emoji204][emoji204]
Dah! Wazungu hawakofair kabisa kuturank below hawa maskini
Yani we acha mkuu hebu tazama hapa huu ustaarabu kweli ni wa kuiweka Kenya na Tanzania kwenye kundi moja kweli jamani, hebu ona kama unakula usiangalie[emoji116][emoji116]Dah! Wazungu hawakofair kabisa kuturank below hawa maskini
Dah aiseeYani we acha mkuu hebu tazama hapa huu ustaarabu kweli ni wa kuiweka Kenya na Tanzania kwenye kundi moja kweli jamani, hebu ona kama unakula usiangalie[emoji116][emoji116]View attachment 1661139
Nimependa huu utaratibu, naona tunakwenda kuwa MIC ya ukweli.
Watu wameanza kuwa civilised ss, ona wanavyopanga mistari kuingia kwenye bus, hii pale Mbezi bus stand ile ya daladala na BRT [emoji116][emoji116]View attachment 1661074View attachment 1661075
Wanajifanya hawaoni [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Rubbish Dump in Nairobi Kenya
Ninalia kwa huzuni
View attachment 1661173View attachment 1661174View attachment 1661175View attachment 1661176View attachment 1661177