Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huoni aibu kwamba licha ya haya yote bado mnatajwa mionongoni mwa mataifa yenye watu wasikini zaidi duniani? Mnakwama wapi lakini?
Nioneshe mahali Tz kuna mafukara km hawa ili niondoke jamii forums
JamiiForums536591758.jpg
JamiiForums-2133498833.jpg
JamiiForums2094083241.jpg
JamiiForums1872384158.jpg
JamiiForums-662560330.jpg
JamiiForums-1024247540.jpg
 
Wanamu under estimate sana Meko. ..btw hana haja ya kujua sana kama Mkapa kikubwa kazi zake zinaonekana,Wakumbuke hata Malawi na Uganda wanaongea sana kinge lakini wako wap
Hawa wakenya walitawaliwa hadi kwenye dna zao ndio maaana mpaka leo bado wanaabudu lugha ya mkoloni wao wakidhani kwamba hiyo lugha ndio kigezo cha maendeleo. Hata hapa tz miaka ya nyuma wazazi walikuwa wanadhani kwamba mtoto wao akijua kiingereza maisha yatakuwa mazuri au atakuwa na fursa nzuri ya kuajiriwa. Kama kiingereza kingekuwa ndio maendeleo ni nchi ngapi africa wanaongea kiingereza na bado ni maskini wa kutupwa? Kujua kusoma na kuongea tu kiingereza haiweza kukufanya uwe na maendeleo. Maendeleo yanaletwa na uzalishaji uliotukuka na uongozi bora. Kiingereza ni lugha tu ya mawasiliano kama zilivyolugha nyingine na mtu anaweza kujifunza muda wowote. MAENDELEO HAYANA LUGHA.
 
Unachekesha kweli kweli ww, 2/3 of Kenyans are living in extreme poor
2/3 of Kenyans is roughly 33 million people. That's more than Tanzanian figures in that world bank report. Swali ni: how comes Kenya is missing in that list of five African countries with the highest concentration of extreme poverty?
 
Back
Top Bottom