Ndio maana kila siku nasema hampendi kusikia ukweli na pia mnapenda visingizio. Ni nini imezuia serikali yenu kukusanya data za maziwa? Iweje imeshindwa kukusanya data za maziwa lakini inajua data ya idadi ya watu Tanzania? And you want us to believe this narrative? Kwani kwa serikali yenu kuna baadhi ya data ni muhimu kuliko zingine? Look man, you look even more stupid going by the way you argue.
Kwa hivyo hadi hiyo data yenu kuhusu GDP pia ni fake? Kwa hivyo TBS leo wamekuwa waongo? 😂 😂 Unazidi kuchekesha walahi!! So hata world bank waliosema mko uchumi wa Kati hadi mkanengua viuno kidogo ziteguke pia ni waongo kuhusu hilo!! Look young man, you can't go around looking for flimsy excuses just to prove a point.