Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ni Tanzanzania tu tunaendesha magari kutumia gesi

Screenshot_20201229-085326.jpg
 
Walianza nurses wakaja doctors na sasa ni lab medical hahahahhaha nchi iliofeli tena mwaka 2020 haina hela ya kulipa wahudumu wa afya alaf yuko kenge mmoja anajisifu wana best health care 🤣🤣🤣👇👇👇




Wac yesu ashuke aje kusaidia kenya😅😅
 
waungwana nimepewa salamu zenu niwafikishie.

salamu hizi zinatoka kwa mchangiaji mmoja machachari sana wa hii thread tangu siku za kwanza. majukumu yalimfanya akose nafasi ya kushiriki mijadala hapa jamiiforum.

ametunituma niwaambie yeye ni mzima kiafya na yupo very strong. 2021 atarudi kwa kishindo kuendeleza mapambano ya kuwaonyesha wakenya mazuri ya tanzania kwa kupitia maendeleo mbalimbali.
 
Twende na fact wakenyani

View attachment 1661997
Tutabenefit aje apa...kwa hizi rasilimali kama kweli JPM atasimama vizur kila kitu kikaenda Sawa basi uchumi wetu utadouble utapaa utapepea
 
fool like you talk about my qualification somebody got ajoke aaah...its too difficult to talk with a teacher about economics matters 0 brain like you real make me wonder what exactly are you teaching kids in school

Like i say your too stupidy to understand even your self, unajifunga kama jinga sasa unafikiri serikali mpka iamue kutumia electronic systeam kukusanya mapatao manake nini? Inamana kulikuwa na mapunguf kweny mfumo ulio kuwa unatumika kabla you cant even read between the line what a fool
About WB , You just prove me right about your level of understanding....honestly i real wish to say your level of understanding is diminishing but men your level of understanding was not even there to begin witha poor soul
Hii kelele yote and yet bado sijapata point hata moja!!
 
Ww ni kizuu usie elewa ....nimekwambia wao wana kipindi cha mpito kuangalia consistance ya nchi flan kabla hawajakuamisha daraja....na hicho ndicho kilicho fanyika Tz km zilivy fanyiw nchi nyingie pia...lkn haimanish kua 2017 ,18, 19 tulikuw LDC ...sisi tulisha toka hiko
Wewe hujielewi kabisa. I'll just leave you to be
 
Back
Top Bottom