Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tuongee na data sio mdomo mkavu, Kenya tuko top 5 foreign investors kwa nchi yenu , unapinga.
Ndio akina standard chattered, Barclay's, Jubilee, Nation Media, Agakhan, Diamond Trust Bank, Unilever, Hongereni 🤣
 
That says a lot about you and Tanzanians in general 😂 😂 😂
Ama hujapekupekua habari za TBC nikupe muda angalau upate mahali Tanzania imetajwa mbele ya Kenya 😂 😂 😂
Or maybe hiyo taarifa ndio Magu anajaribu kutafuta kwenye hizo files ofisini mwake hapo chini? 😂 😂
2640663_FB_IMG_16080948040447488.jpg
 
Excuses hamkosangi watanzania. Hampendi sana kusikia ukweli. Unaweza kuwa na ng'ombe nyingi lakini hawazalishi maziwa. The point should be how much milk do you produce, not how many cattle do you have. Huenda mimi niko na ng'ombe mbili za gredi na wewe uko na kumi za kienyeji waliokonda. Kati yangu na wewe nani atazaliza maziwa nyingi?
It's just common sense but they pretend not knowing such simple facts
 
Back
Top Bottom