Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 75,701
- 107,139
Aawapi JPM aliyapiga ban immediately alipoingia madarakani!
Aawapi JPM aliyapiga ban immediately alipoingia madarakani!
Kheeee!!watuuueeee[emoji1787][emoji1787]Does CNN is a statistics organization!? Or just a propaganda for Freemasons!?
Hebu usinichoshe. Niletee evidences raw material ya diary zinatoka wapi!?
Nyie hamfugi ng'ombe. Give me proof by evidences.
Unaulizwa hiki unajibu kile!
Umaskini ni nn?Narudia tena.
Onesha nilicho kuuliza na sio kujibu vitu ambavyo hujaulizwa.
Onesha ni sehemu gani Tanzania kuna umasikini kama wa Turkana, kibera nk!
Tuongee na data sio mdomo mkavu, Kenya tuko top 5 foreign investors kwa nchi yenu , unapinga.Muite vyovyote lakini ni muwekezaji katoa ajira kwa watanzania thousands na analipa billions of taxes na ananunua malighafi kutoka kwa maelfu ya wakulima wa Tanzania, so?
Kwani Kenya mbona matajiri 7 kwenye topten ni wenye asili ya Asia? 😅😅😅
Tena hizi malls zote mnazoringia hapa ni zao na estates kibao, wasomali tu wanamiliki quarter of your whole economy 🌗😂😂😂
Tuonyeshe data brookside walisitisha lini kupeleka maziwa tzAawapi JPM aliyapiga ban immediately alipoingia madarakani!
Unataka nikuletee pakiti ya maziwa hadi hapo kwako gongo la mboto au? Hiyo ndio evidence raw unataka? 😂 😂Does CNN is a statistics organization!? Or just a propaganda for Freemasons!?
Hebu usinichoshe. Niletee evidences raw material ya diary zinatoka wapi!?
Nyie hamfugi ng'ombe. Give me proof by evidences.
Achana naye huyo. Mimi nilisha mpotezea. Is stupid person. Wala usijichoshe na comment zakr mpuuzieUnaulizwa hiki unajibu kile!
Ni raia wa nchi gani?
Nitakujibu endapo mtanionesha sehemu yenye umasikini kama wa Turkana, kibera nk.
Tuonyeshe wanachomiliki hao wasomaliMuite vyovyote lakini ni muwekezaji katoa ajira kwa watanzania thousands na analipa billions of taxes na ananunua malighafi kutoka kwa maelfu ya wakulima wa Tanzania, so?
Kwani Kenya mbona matajiri 7 kwenye topten ni wenye asili ya Asia? [emoji28][emoji28][emoji28]
Tena hizi malls zote mnazoringia hapa ni zao na estates kibao, wasomali tu wanamiliki quarter of your whole economy [emoji283][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwhyo mumeonewa..Nitakujibu endapo mtanionesha sehemu yenye umasikini kama wa Turkana, kibera nk.
Hawa watoto wa Mabibo hufurahisha kweli 😂 😂. Yani wanasisitiza while they can't even prove their points. Hata taarifa ya sisiemu au TBC hawana ya kuprove points zao na wanazidi kukataa evidence zetu. Funny creatures!!
Hyo ndio official data ya brookside sio, sie tukileta habari za business daily mnasema kaandika mkenya![]()
Danone buys Kenyattas out of Brookside Tanzania
Ruiru-based Brookside gained a footing in Tanzania after it acquired the Arusha plant of the defunct State-owned Tanzania Dairies.www.businessdailyafrica.com
Kama umeshindwa kujibu maswali yangu. Nenda kanywe chang'aaUnataka nikuletee pakiti ya maziwa hadi hapo kwako gongo la mboto au? Hiyo ndio evidence raw unataka? 😂 😂
What's your point btw?
Hapo sasa, tena anagalau wangelikua hata na yale maneno ya majukwaani kutoka kwa wanasiasa ila bado hawana[emoji1787]Hawa watoto wa Mabibo hufurahisha kweli [emoji23] [emoji23]. Yani wanasisitiza while they can't even prove their points. Hata taarifa ya sisiemu au TBC hawana ya kuprove points zao na wanazidi kukataa evidence zetu. Funny creatures!!
Huenda mwandidhi leo alikuwa mtanzania 😂Hyo ndio official data ya brookside sio, sie tukileta habari za business daily mnasema kaandika mkenya
Sent using Jamii Forums mobile app
Miss KomoraHyo ndio official data ya brookside sio, sie tukileta habari za business daily mnasema kaandika mkenya
Sent using Jamii Forums mobile app
Emu mnyooshe kw hzo data za organic na chemical milk basi umuwekee sawa, manale naona anabisha sana na data feki[emoji1787][emoji1787]Kama umeshindwa kujibu maswali yangu. Nenda kanywe chang'aa
View attachment 1661602View attachment 1661603View attachment 1661604View attachment 1661605
Certified nincompoop.