TYWIN LANNISTER
JF-Expert Member
- Oct 31, 2018
- 854
- 209
What is wrong with thatTuanze kuwachapa vitasa mapaka wanyooke.
View attachment 1661536
What is wrong with thatTuanze kuwachapa vitasa mapaka wanyooke.
View attachment 1661536
Nani kakudanganya aerial view ya maghorofa inakaa hvoHahahaha, zoom uone jinsi majumba ya ghorofa yalivyojipanga, acha kuogopa ukweli kwa kuweka picha za mbali ili tusione mazingiza, mbona sisi tunaweka picha za Kibera hadi kuku zinaonekana?![]()
Sio kufika tu...yaani hayanusi hewa ya TanzaniaSiku hizi hayafiki Tanzania?



Having many cows doesn't result to high productionYani hata unajiskiliza mwenyew? Ivi ng'ombe wengi wako Tz alfu maziw mengi muwenayo nyie? Narudia bongo data za maziwa hazijakusanywa vyema...wanachukua tu kwa wale wazalishaj wakubwa kama Tanga fresh, azam, asas na wengine...lkn kuna commoners wenye ng'ombe weng tu ila serikali haina data zao....so mnatushinda kwa kukusanya data sio kwa kiwango cha maziwa.
Inatuuma tena sana nchi maskini wakutupwa kua na dollar billionaire tena mwenye asili ya kigeni.Mo kuwa Mtanzania huwa inawauma sana na bado mtaendelea kuumia wajinga ninyi.
Mo amezaliwa Singida region.Inatuuma tena sana nchi maskini wakutupwa kua na dollar billionaire tena mwenye asili ya kigeni.
Mhindi wa Gujarat kadominate mpaka akawa dollar billionaire, ringa na vyako.Mo amezaliwa Singida region.
Mo ana passport ya Tanzania.
Mo ni Mtanzania.
Ati masikini wa kutupwa...sehemu gani Tanzania kuna umasikini kama wa Turkana, kibera nk!
Ni raia wa nchi gani?Mhindi wa Gujarat kadominate mpaka akawa dollar billionaire, ringa na vyako.
Excuses hamkosangi watanzania. Hampendi sana kusikia ukweli. Unaweza kuwa na ng'ombe nyingi lakini hawazalishi maziwa. The point should be how much milk do you produce, not how many cattle do you have. Huenda mimi niko na ng'ombe mbili za gredi na wewe uko na kumi za kienyeji waliokonda. Kati yangu na wewe nani atazaliza maziwa nyingi?Yani hata unajiskiliza mwenyew? Ivi ng'ombe wengi wako Tz alfu maziw mengi muwenayo nyie? Narudia bongo data za maziwa hazijakusanywa vyema...wanachukua tu kwa wale wazalishaj wakubwa kama Tanga fresh, azam, asas na wengine...lkn kuna commoners wenye ng'ombe weng tu ila serikali haina data zao....so mnatushinda kwa kukusanya data sio kwa kiwango cha maziwa.
Makalio yanakuwash sn ww....unacha kumia naInatuuma tena sana nchi maskini wakutupwa kua na dollar billionaire tena mwenye asili ya kigeni.
...unaumia na mtu aliye zaliwa Tz na maisha yake kuwa Tz...acha ujinga wwUtaitaje mtu anayeshikilia nusu ya kampuni eti ni mshika pembe na yule anayemiliki asilimia kumi kwamba ndio mwenye kampuni? Wivu itawaua bureBrookiside Milk ni ya waarabu toka falme za kiarabu na Vijana toka Spain wapo Africa ya Kusini
Kenyatta ni mshika mapembe tu.
View attachment 1661542
Vipi kuhusu 2.5M Nairobians who live in slums, hiyo haikuumi?Inatuuma tena sana nchi maskini wakutupwa kua na dollar billionaire tena mwenye asili ya kigeni.
Cha ajabu ni kwamba sisi tukisema watu Kama Manu Chandaria ni wakenya wanasema uchumi wetu inamilikiwa na wahindi. Hypocrites!Mhindi wa Gujarat kadominate mpaka akawa dollar billionaire, ringa na vyako.
Vipi kuhusu Familia za Kenyatta na Moi kuwaibia wakenya hadi kuwa matajiri?Mhindi wa Gujarat kadominate mpaka akawa dollar billionaire, ringa na vyako.
Mind you Tz now , wametoka kweny kufuga ng'ombe nying (kienyeji) na kufuga za kisasa ..japo sio nchi zima .ila tatizo lipo kweny data...ww usichoelewa nini?Excuses hamkosangi watanzania. Hampendi sana kusikia ukweli. Unaweza kuwa na ng'ombe nyingi lakini hawazalishi maziwa. The point should be how much milk do you produce, not how many cattle do you have. Huenda mimi niko na ng'ombe mbili za gredi na wewe uko na kumi za kienyeji waliokonda. Kati yangu na wewe nani atazaliza maziwa nyingi?