Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unless all these sources are lying. Show me anywhere Tanzania is mentioned above Kenya in these links:

Mentioned by who!?
 
Mhindi wa Gujarat kadominate mpaka akawa dollar billionaire, ringa na vyako.
Muite vyovyote lakini ni muwekezaji katoa ajira kwa watanzania thousands na analipa billions of taxes na ananunua malighafi kutoka kwa maelfu ya wakulima wa Tanzania, so?

Kwani Kenya mbona matajiri 7 kwenye topten ni wenye asili ya Asia? 😅😅😅

Tena hizi malls zote mnazoringia hapa ni zao na estates kibao, wasomali tu wanamiliki quarter of your whole economy 🌗😂😂😂
 
Fanya hivi, niletee taarifa yoyote inayotaja Tanzania mbele ya Kenya ikija kwenye swala la uzalishaji wa maziwa. Unaweza leta hata taarifa ya TBC Kama unawezapata
Taarifa inayotaja Tanzania mbele ya Kenya!? Wewe umeleta inayotaja Kenya ipo mbele ya Tanzania!? By evidence!?

And which company produces diary owned 100% by Kenya!!?

Je, does that Kenyan company produces organic milk or chemical!?

Jibu maswali hayo tuanze.
Usiruke ruke na fake statistics kujipoza.
 
Usiruke ruke na fake statistics kijipoza.
Nishakupa taarifa tatu inayotaja Kenya mbele ya Tanzania, hadi ya CNN. Ama unataka taarifa Kama hizo kumi ndio uamini?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mtu akirudisha change hapo mwingine anaipokea bila kujua, Atagundua ladha itakapobadilika kidogo.

Key word: RUDISHA CHANGE[emoji23]

[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Onesha nilicho kuuliza na sio kujibu vitu ambavyo hujaulizwa.

Onesha ni sehemu gani Tanzania kuna umasikini kama wa Turkana, kibera nk!
Kwani huoni? Ama uko na matatizo ya macho? 😂
PhotoGrid_1605162481588.jpg
 
Nishakupa taarifa tatu inayotaja Kenya mbele ya Tanzania, hadi ya CNN. Ama unataka taarifa Kama hizo kumi ndio uamini?
Does CNN is a statistics organization!? Or just a propaganda for Freemasons!?
Hebu usinichoshe. Niletee evidences raw material ya diary zinatoka wapi!?

Nyie hamfugi ng'ombe. Give me proof by evidences.
 
Taarifa inayotaja Tanzania mbele ya Kenya!? Wewe umeleta inayotaja Kenya ipo mbele ya Tanzania!? By evidence!?

And which company produces diary owned 100% by Kenya!!?

Je, does that Kenyan company produces organic milk or chemical!?

Jibu maswali hayo tuanze.
Usiruke ruke na fake statistics kujipoza.
Kati ya chemical na hyo organic km unavyozitaja mnazalisha litre ngapi kw mwaka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom