Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mind you Tz now , wametoka kweny kufuga ng'ombe nying (kienyeji) na kufuga za kisasa ..japo sio nchi zima .ila tatizo lipo kweny data...ww usichoelewa nini?
Tatizo lipo kwenye data? 😂 😂 So you know better than your own government that collects that data? Mnachekesha sana
 
Mo amezaliwa Singida region.
Mo ana passport ya Tanzania.
Mo ni Mtanzania.

Ati masikini wa kutupwa...sehemu gani Tanzania kuna umasikini kama wa Turkana, kibera nk!
Iko hapa
PhotoGrid_1605162481588.jpg
 
Mbona unatumia nguvu nyingi hivi? Kwa hivyo hata sisi tuanze kuleta mipicha picha za bidhaa zinazoundwa Kenya? Hapo ndio inferiority complex imekufikisha. Unatuonyedha bidhaa za plastics?? 😂 😂
Sasa mkianza kutengeneza bunduki hapa kutakalika kweli? Kwa kweli akili zenu haiwasaidii
Uzi umejaa teenagers kibao wenye boxer moja ya kutoboka na smartphone yakupasuka.
 
Uzi umejaa teenagers kibao wenye boxer moja ya kutoboka na smartphone yakupasuka.
Yani mtu anashikwa na nyege na kujaza server kisa Tanzania is finally producing plastic products 😂 😂 😂
 
Nionyeshe ni wapi ulisoma eti Kenya kuna 28 million extremely poor souls
Onesha nilicho kuuliza na sio kujibu vitu ambavyo hujaulizwa.

Onesha ni sehemu gani Tanzania kuna umasikini kama wa Turkana, kibera nk!
 
Yani hata unajiskiliza mwenyew? Ivi ng'ombe wengi wako Tz alfu maziw mengi muwenayo nyie? Narudia bongo data za maziwa hazijakusanywa vyema...wanachukua tu kwa wale wazalishaj wakubwa kama Tanga fresh, azam, asas na wengine...lkn kuna commoners wenye ng'ombe weng tu ila serikali haina data zao....so mnatushinda kwa kukusanya data sio kwa kiwango cha maziwa.
Mbona likina swala utalii hatulii km nyie wakati kw idadi tumewashinda, mkiulizwa mnasema eti hidh-end tourism..

Sasa na hku sisi mambo na maziwa ni swala la quality, diary farming mnaijuli nyie wazembe..
Au unafikiria ni yale magombe magoloko ya mitaani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Can you prove this claim!?
Unless all these sources are lying. Show me anywhere Tanzania is mentioned above Kenya in these links:



 
Back
Top Bottom