NDINDA
Platinum Member
- Apr 4, 2011
- 10,726
- 49,572
Public Toilet in Kunyaland, in the heart of Nairobi. The kantiree called middle finger size.
View attachment 1661122View attachment 1661123View attachment 1661124View attachment 1661125
Duh,

Public Toilet in Kunyaland, in the heart of Nairobi. The kantiree called middle finger size.
View attachment 1661122View attachment 1661123View attachment 1661124View attachment 1661125

This is really unsanitary 🤢 🤮Public Bar in Nairobi Kenya.
View attachment 1661140View attachment 1661141View attachment 1661142View attachment 1661143
Public Bar in Nairobi Kenya.
View attachment 1661140View attachment 1661141View attachment 1661142View attachment 1661143

mtu akirudisha change hapo mwingine anaipokea bila kujua, Atagundua ladha itakapobadilika kidogo.

Kwaheri.
Karibu.
.Tupa kuleYes, Maziwa tushatupa kule, Sausages tushatupa kule , Hii nayo kama kawa tupa kule.

nyie haujui mapenzi hamko romantic kama wasemavyo madem zenu zenuHii Kenya yetu ina vituko sana. Kuna ripoti kuwa msichana wa miaka 19 amewapiga na kuwajeruhi polisi wawili wa kiume huko Siaya. Hao polisi wamepelekwa hospitalini. Watanzania chungeni sana maana naona mumeanza kuja Kenya kutafuta wachumba. Hata wasanii wenu wanakuja huku sana kutafuta jiko. Mjifunze karate kwanza ndio mje huku

Hahahaha unawarusha roho wakunya wanavyoona hizi stands, wanaomba hata wangeipata hii iwe their upcountry bus terminal 😅😅Tz bhn Raha sn yn ukitoka Mbezi bus terminal mbele kdg kuna ka stand kadogodogo ila kapo vzr kinoma noma.View attachment 1661216View attachment 1661217View attachment 1661218View attachment 1661219View attachment 1661220View attachment 1661221
Limwekundu ni nini?nyie haujui mapenzi hamko romantic kama wasemavyo madem zenu zenu
uku mwanamke akizingua anapigwa na limwekundu 1 akizingua tena anakula la pili![]()
Hizo products tutaban zisifike Kenya.Mamabo ya maziwa. Sasa wajue Tanzania tupo bomba.
Naanza kama ifuatavyo. Ninauhakia wakenya wengi hawajui.
KILIMANJARO FRESH
View attachment 1661247View attachment 1661248View attachment 1661249View attachment 1661250View attachment 1661251
Yani mpaka maziwa yanapostiwa, huu uzi niwakishamba sana.Mamabo ya maziwa. Sasa wajue Tanzania tupo bomba.
Naanza kama ifuatavyo. Ninauhakia wakenya wengi hawajui.
KILIMANJARO FRESH
View attachment 1661247View attachment 1661248View attachment 1661249View attachment 1661250View attachment 1661251
Siyo maziwa hiyo ni brand yn tumeitoa product ya Kenya tumeipa shavu kampuni ya ndani punga wewe.Yani mpaka maziwa yanapostiwa, huu uzi niwakishamba sana.
Unatafuta nini kwenye uzi wa kishamba!Yani mpaka maziwa yanapostiwa, huu uzi niwakishamba sana.
niaje meffi, vipi leo twende ground.Siyo maziwa hiyo ni brand yn tumeitoa product ya Kenya tumeipa shavu kampuni ya ndani punga wewe.