The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,616
- 98,847
Leo umewabaka sn mkuu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Tuanze kuwachapa vitasa mapaka wanyooke.
View attachment 1661536
Leo umewabaka sn mkuu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Tuanze kuwachapa vitasa mapaka wanyooke.
View attachment 1661536
Ng'ombe wako wapi wkt dunia nzima inajua kwa Africa hii nchi yenye ng'ombe wengi ni Ethiopia inafatia Tz [emoji3][emoji3][emoji3]Endeleeni kuagiza flavourful rubbish from China mkijidanganya ninyi mahodari wa ng'ombe wa maziwa
Hawa wakinijua itakuwa shida sana.Leo umewabaka sn mkuu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
A multinational corporation
Tuanze kuwachapa vitasa mapaka wanyooke.
View attachment 1661536
😅😅😅 Nataka aje anioneshe haya maziwa yametoka kwa ng'ombe ganiNg'ombe wako wapi wkt dunia nzima inajua kwa Africa hii nchi yenye ng'ombe wengi ni Ethiopia inafatia Tz [emoji3][emoji3][emoji3]
Km vile moh dewji alivyokua mumakonde[emoji1787][emoji1787]Mobius kampuni ya mzungu.
Ni bora hata ungepost zile za made in laikipia [emoji23][emoji23][emoji23]
Unajichekesha we mlevi, nilikwambia umevamia kambi ila lazima uwe mpole mzee wa apartment, yn nyumba ya mwenzio unaipost humu jamii forums, ufala huo sitakuja kuuweza maishani.
Uwanja wa dhambiView attachment 1661481
BRT hoyee, mavi kitambarani.
Sasa zaidi ya Brookside milk, nini tena wakenya wanamiliki?Hata blueband siyo yao. Wakenya ni madalali
View attachment 1661532
Jamaa saa hivi mavi kwa chupi, mimi waga hawanisumbui, cheki wanavyo teseka.Km vile moh dewji alivyokua mumakonde[emoji1787][emoji1787]
Zaidi ya maziwa ya Brookside, nini tena wakenya mnazalisha na kuleta Tanzania?Dose imeingia sawasawa
Mo kuwa Mtanzania huwa inawauma sana na bado mtaendelea kuumia wajinga ninyi.Km vile moh dewji alivyokua mumakonde[emoji1787][emoji1787]
Kaka Tanzania hakuna maziwa ya brookside rekebisha hapo [emoji23][emoji23][emoji23]Zaidi ya maziwa ya Brookside, nini tena wakenya mnazalisha na kuleta Tanzania?
Yani hata unajiskiliza mwenyew? Ivi ng'ombe wengi wako Tz alfu maziw mengi muwenayo nyie? Narudia bongo data za maziwa hazijakusanywa vyema...wanachukua tu kwa wale wazalishaj wakubwa kama Tanga fresh, azam, asas na wengine...lkn kuna commoners wenye ng'ombe weng tu ila serikali haina data zao....so mnatushinda kwa kukusanya data sio kwa kiwango cha maziwa.Kenya imeshinda Tanzania kwa milk production hyo ndio point
I haveCan you prove this claim!?
Unapingana na data, ngombe wengi ambao hata litre 5 mmoja mmoja hawatoisio maziwa wala nyama HAKUNA mlichotuzidi!!
Brookiside Milk ni ya waarabu toka falme za kiarabu na Vijana toka Spain wapo Africa ya KusiniSasa zaidi ya Brookside milk, nini tena wakenya wanamiliki?
Siku hizi hayafiki Tanzania?Kaka Tanzania hakuna maziwa ya brookside rekebisha hapo [emoji23][emoji23][emoji23]