Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Cate hotel, Morogoro
IMG_20201228_131957_720~2.jpg
IMG_20201228_131957_587~2.jpg
Screenshot_20201228-143355.jpg
Screenshot_20201228-143424.jpg
Screenshot_20201228-143345.jpg
 
😂😂😂😂😂😂

Maziwa yenyewe ndio haya matakataka lab chemicals ndio maana cancer inawatafuna?
View attachment 1661507


🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 vipi hoja kwisha, nilijua huu mziki hamtauweza.
 
Hii Kenya yetu ina vituko sana. Kuna ripoti kuwa msichana wa miaka 19 amewapiga na kuwajeruhi polisi wawili wa kiume huko Siaya. Hao polisi wamepelekwa hospitalini. Watanzania chungeni sana maana naona mumeanza kuja Kenya kutafuta wachumba. Hata wasanii wenu wanakuja huku sana kutafuta jiko. Mjifunze karate kwanza ndio mje huku

Tumesema Sana polisi wenu walegevu mnabisha .samahani lakini.
 
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 vipi hoja kwisha, nilijua huu mziki hamtauweza.
Mnaongelea liters za mavumbi ya lab halafu mnataja ng'ombe wa maziwa, organic milk (98% Tanzanias milk) na matakataka flavored (80% Kenyas milk) wapi na wapi?
 
vipi hoja kwisha, nilijua huu mziki hamtauweza.
Unajichekesha we mlevi, nilikwambia umevamia kambi ila lazima uwe mpole mzee wa apartment, yn nyumba ya mwenzio unaipost humu jamii forums, ufala huo sitakuja kuuweza maishani.
 
Back
Top Bottom