Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kenya sio shit-hole kama Tanzania. Likija kwenye suali la mobile teleconnectivity Kenya tuko mbele ya nchi zote Africa Mashariki. Tuna smart phones nyingi per capita. Tuna internet subscribers wengi per capita. Tuna mobile money users wengi per capita. Yaani wacha tu. Dunia nzima inajua kwamba Mobile money ilianzia Kenya. Tanzania bado haijulikani kwa jambo lolote linalohusu technology.
Unaumwa ww, weka ushahidi kwamba mobile money ilianzia kenya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmmmh mtanzania na Kenya wapi na wapi? Watanzania wana history ya kuzamia SA na nchi nyingine za kusini tena ni zamani, sijawahi kusikia mkasa wa mTanzania kwenda Kenya kutafuta maisha hata siku 1 na utu uzima huu nilionao,

Kwa maisha yapi mliyonayo mtanzania ashawishike kuja huko jalalani? FYI wakenya ndio wamejazana Tanzania kufanya kazi za housekeeping, waitresses, babycare, zungukia kwenye mahotel na mashuleni wakenya wanapigika kisawasawa
Bila kusahau kutembeza vyombo vya plastick barabarani.
 
Hata hio pia unapinga? Duh wewe huwezi saidika. Dunia yote inajua kuwa mobile money ilianzia Kenya. Hio hata Geza Ulole hawezi kupinga.
Sema mobile money Africa tena as a pilot project!
Screenshot_2020-12-26-08-10-46.png
 
Unajua tofauti ya nationality na heritage? Mimi sizungumzii nationality yake. Mimi nazungunzia heritage yake.
Ukanda huu wote including Kenya.. Heritage yao ni Arusha
Olduvai... 🙂 The cradle of humanity Ukikataa.. kaprotest, 🙂
HERI YA KUZALIWA NOELI!
 
Kenya sio shit-hole kama Tanzania. Likija kwenye suali la mobile teleconnectivity Kenya tuko mbele ya nchi zote Africa Mashariki. Tuna smart phones nyingi per capita. Tuna internet subscribers wengi per capita. Tuna mobile money users wengi per capita. Yaani wacha tu. Dunia nzima inajua kwamba Mobile money ilianzia Kenya. Tanzania bado haijulikani kwa jambo lolote linalohusu technology.
Unazungumzia Nairobi ama?!!!!Ukute ushaenda kwenye kile kilima chenu cha network,ama uko juu ya mti mida hii,"hallo hallo hallo unanipata Buda?!!"Nyingi sana.Dunia ya leo network ya kuipandia juu ya mti?! Failed State 😆😆😆😆😆😆my foot.
 
Wewe unajua hapa Africa kwenye mambo ya IT na hususan mambo ya mobile money na mobile connectivity Kenya inaheshimika sana?
 
Kenya sio shit-hole kama Tanzania. Likija kwenye suali la mobile teleconnectivity Kenya tuko mbele ya nchi zote Africa Mashariki. Tuna smart phones nyingi per capita. Tuna internet subscribers wengi per capita. Tuna mobile money users wengi per capita. Yaani wacha tu. Dunia nzima inajua kwamba Mobile money ilianzia Kenya. Tanzania bado haijulikani kwa jambo lolote linalohusu technology.
Acha kujiaibisha... There are more than 10 patents kwenye huduma supportive za Mobile money zimekuwa pioneered na watz na hutokuja kusikia wanajitapa... Eti per capita... Hahaha.. sijui mmekula maharage ya wapi!
 
Wewe unajua hapa Africa kwenye mambo ya IT na hususan mambo ya mobile money na mobile connectivity Kenya inaheshimika sana?
Mnaheshimika na nani..!?
A team of Tanzanian formally working for TIGO was contracted to establish the service in Asia one of the countries being Papua New Guinea, and later south and central america one of the countries being Jamaica.

Hao Wakenya wamekwenda wapi!?

Mnaheshimika au mnang'ong'wa
 
Kitendo cha wasanii wetu kuwa viewer wengi u tube na like pamoja na follower wengi ni ishara kuwa
Watanzania wanamudu kununua internet, tuna miliki higher /middle smartphone,umeme wa kutosha, na maarifa zaidi .
 
M-pesa ilianza Kenya wewe. Nenda wikipedia ukasome. Hio technology ya Mpesa mnayo kwenda kuanzisha Papua New Guinea ilianzia hapa Kenya.
 
Kitendo cha wasanii wetu kuwa viewer wengi u tube na like pamoja na follower wengi ni ishara kuwa
Watanzania wanamudu kununua internet, tuna miliki higher /middle smartphone,umeme wa kutosha, na maarifa zaidi .
Kigezo kinachotumika sio watu wangapi wanaotazama msambwanda wa Amber Ruti bali ni watu wangapi wanamiliki smart phone na watu wangapi wana access internet. Tupe hio idadi.
 
Hahaha. Nilijua tu utakuja na mambo yako. Sawa basi Kenya ni ya pili. Bado kuwa wa pili ni jambo la maana sana.
Cc The best 007
Nimesema Kenya wa kwanza Africa as a pilot project na kwa hisani ya Vodafone! Hivi kuwa wa kwanza imewasaidia nini wakati kuna msela mbongo kapokea $25mln na anakula royalties za Pay As You Go(PAYG) kama inventor wa technology inayotumika na Circle Gas huko UK!

Muache upumbavu wa kudai mligundua Mpesa, Mr Mendes from Tanzania is globally recognized inventor of PAYG system for Kopagas and he is quiet and none of Tanzanians here brag!
 
Back
Top Bottom