Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hata hko kwenu pia maisha magumu, tena ndipo nikakwambia..
Mbunge wa tz anatembelea gari kubwa mshahara wachini kenya mshara wa juu gari dogo..

Hali ile ile tu ya kiafrika afrika
Kwenu mbunge analipwa sh ngp hebu weka hapa kima tuone.
 
more
EqP4sevXIAE9DG0.jpg
 
Nilikuwa nashangaa pesa za madini huwa zinaenda wapi kumbe wakubwa wa ccm Na serikali wanakula maisha kwa kijiko kikubwa
Pesa ya madini c mlikuwa mnachukuwa nyinyi na wahindi au ushasahau, now hakuna huo ufala [emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205]
 
Back
Top Bottom