Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hahahaha Ethiopians na Somalians wana maisha mabovu kupindukia lakini kila siku tunawakamata Tanzania wakielekea SA, huyu ngedere anasema watanzania wanaishobokea Kenya, kwa hiyo Ethiopians na Somalians wana maisha mazuri kuliko watanzania? Wao waone Kenya ni takataka sie tuone Kenya kwa maana? Hajielewi

Unajua wakenya walipumbazwa sana na mababu zao kuaminishwa kwamba wao ndio first world hapa na nchi nyingine zote ni hovyo, sasa baada ya utandawazi taratibu wanaanza kujiona walivyo hovyo

Kuna mpaka dogma walimezeshwa na viongozi wao eti Nyerere alisema watanzania wanawish kwenda Nairobi more than London 😂😂😂😂

Hapo juu tena nasoma tweet ya mkenya confidently anasema Tanzania tumeanza kujenga barabara za lami awamu hii 😂😂😂😂😂

You can imagine namna walivyokua programmed na viongozi wao kwamba wao ndio wao but kwa ground wapo shittest like no one.
Brain wash hiyo toka walipokua tumboni kwa mama zao
 
Watanzania wacheni wivu ndogo ndogo. Huyo ni Mkenya.
Mm na akili zangu haiwezi kutokea hapa duniani nitumie picha ya mkenya, never in my life.

Mlimshobokea mkadhani ni mkenya, mlivyowajinga mkaweka mpk mapumziko, eti raia wa nchi nyingine nyie mnasherehekea ushindi wake kwa kuweka mapumziko kitaifa.

Mwishowe mkajiona muwajinga, hakuna mmarekani anayejiita yeye ni mgeni ndani ya nchi yake, wamarekani wanapenda nchi yao na wanajivunia umarekani wao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Obama ni mbegu ya Mjaluo kutoka Kogelo Siaya

images.jpeg
images (1).jpeg
images (2).jpeg
 
Mm na akili zangu haiwezi kutokea hapa duniani nitumie picha ya mkenya, never in my life.

Mlimshobokea mkadhani ni mkenya, mlivyowajinga mkaweka mpk mapumziko, eti raia wa nchi nyingine nyie mnasherehekea ushindi wake kwa kuweka mapumziko kitaifa.

Mwishowe mkajiona muwajinga, hakuna mmarekani anayejiita yeye ni mgeni ndani ya nchi yake, wamarekani wanapenda nchi yao na wanajivunia umarekani wao.

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23]nakumbuka yule msanii wao wa kijaruo mpaka akamtungia wimbo.

hawa watu wanajiona wamesoma,lakini badala ya kuelimika wakaishia kujua kiingereza tu,yaani obama angekuwa na asili ya tz i doubt kama hata kuna mtu angehangaika kujuza ulimwengu.

sisi sio kwamba hatuchangamkii fulsa,ila ni watu wenye majivuno,hatupendi shobo[emoji1][emoji1].
ona sasa hivi kiko wapi!!jamaa ndio kwaanza anazurula nchi za wapi sijui huko baada ya kustaafu,hata kuamua kuja kukaa na bibi yake hapo korogocho kaona atanuka[emoji41].
 
Back
Top Bottom