Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Regional commissioner mkuu
Ooh Haha. Mbona anaendesha magari makubwa kama infiniti. Yaani serikali yao inapoteza pesa kwa upuzi kama huo ilhali Wabongo wenyewe ni masikini wa kutupwa. Serikali yao inapaswa kutumia pesa vizuri.
 
Sasa mbona unajichanganya na mwenzako!? Yeye anasema 2021. We we unasema after 10 years. Ndio maana nimewaambia kaeni kimya mkimaliza ndio mje tuongee.
We ndyo huelewi,,hii port iko phases kadhaa,ya kwanza inakamilika 2021 na ya mwisho 2030 so itakuwa completed yote after 10 yrs
 
Ooh Haha. Mbona anaendesha magari makubwa kama infiniti. Yaani serikali yao inapoteza pesa kwa upuzi kama huo ilhali Wabongo wenyewe ni masikini wa kutupwa. Serikali yao inapaswa kutumia pesa vizuri.
kama kununua cheni za sonko.
 
Utamaduni huo wakuandika magari yetu serekeli nyadhifa zao kw plates hatuna sisi huku..

Wanaotumia nembo za nyadhifa zao kw plates (GVN)
Tena ni vile magari ya county hayapo under serekali kuu ndio manake, lkn sisi huku utaratibu wetu ni GK au plates za Rangi ya blue kw wizara pia vile vile plates za blue sio kwa gari zote
 
governor ni mkuu wa jimbo.huku majimbo wamepewa wabunge.

RC na CC kuparuana ni sehemu tu ya ubinaadamu,kama ruto na uhuru wanaparuana hadharani sembuse hao!!

sijui kwenu mna majimbo mangapi,ila huku yapo zaidi ya zaidi ya 250.ila mikoa ni 32 tu.
Gavana sio mkuu wa majimbo jomba uliza kwanza, wabunge ndio wakuu wa majimbo
 
Ooh Haha. Mbona anaendesha magari makubwa kama infiniti. Yaani serikali yao inapoteza pesa kwa upuzi kama huo ilhali Wabongo wenyewe ni masikini wa kutupwa. Serikali yao inapaswa kutumia pesa vizuri.
Mi hta nashagaa walai, tena kisha plates lazima waeke RC kili
Majigambo bana
 
mkuu wa mkoa by the way hata cdf anatumia iyo Nissan sio ata ishu
Punguzeni maringo. Sasa Infiniti, Range rover na Toyota Prado, gari zote tatu kwa binadamu mmoja? Serikali yenu mbona inapoteza pesa kwa mambo ya kipuuzi kama hii badala ya kuivest kwenye maslahi ya wananchi wa kawaida. Hii ni tabia ya capitalist countries sio socialist countries kama yenu. Mumeanza kufuata tabia za Nigeria na Kenya.
 
Sonko ananunua cheni kwa pesa zake. Makonda anaringa kwa pesa za serikali. Kuna tofauti hapo
mimi sina uhakika,sijui wewe una uhakika gani sonko anafanya huo ufahari kwa pesa yake mfukoni!!!!
 
Ooh Haha. Mbona anaendesha magari makubwa kama infiniti. Yaani serikali yao inapoteza pesa kwa upuzi kama huo ilhali Wabongo wenyewe ni masikini wa kutupwa. Serikali yao inapaswa kutumia pesa vizuri.
Umeanza kulia sasa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Utamaduni huo wakuandika magari yetu serekeli nyadhifa zao kw plates hatuna sisi huku..

Wanaotumia nembo za nyadhifa zao kw plates (GVN)
Tena ni vile magari ya county hayapo under serekali kuu ndio manake, lkn sisi huku utaratibu wetu ni GK au plates za Rangi ya blue kw wizara pia vile vile plates za blue sio kwa gari zote
Kwani hio wametumia nn hapo huoni imeandikwa RC dsm au hujaelewa
 
Punguzeni maringo. Sasa Infiniti, Range rover na Toyota Prado, gari zote tatu kwa binadamu mmoja? Serikali yenu mbona inapoteza pesa kwa mambo ya kipuuzi kama hii badala ya kuivest kwenye maslahi ya wananchi wa kawaida. Hii ni tabia ya capitalist countries sio socialist countries kama yenu. Mumeanza kufuata tabia za Nigeria na Kenya.
Hvi kuna nchi inathamini wananchi wake kama tanzania hvi unajua tanzania ndio inaongoza africa kua na inclusive economy au hujui maana yake ??🤣🤣🤣

Punguzeni maringo. Sasa Infiniti, Range rover na Toyota Prado, gari zote tatu kwa binadamu mmoja? Serikali yenu mbona inapoteza pesa kwa mambo ya kipuuzi kama hii badala ya kuivest kwenye maslahi ya wananchi wa kawaida. Hii ni tabia ya capitalist countries sio socialist countries kama yenu. Mumeanza kufuata tabia za Nigeria na Kenya.
Gari za kifakhari ni kitu cha kawaida sana ikiwa mkurugenzi wa jiji anatumia v8 unshangaa nn nyie kwenu mbunge anatumia prado 🤣🤣🤣
 
mimi sina uhakika,sijui wewe una uhakika gani sonko anafanya huo ufahari kwa pesa yake mfukoni!!!!
Alianza kuvaa macheni za dhahabu hata kabla ya kujiunga na siasa. Jamaa alikuwa na pesa hata kabla ya kuwa mwanasiasa. Neno "Sonko" ni neno la sheng (lugha ya vijana) na lina maana ya "Tajiri", "Bwenyenye"
 
Alianza kuvaa macheni za dhahabu hata kabla ya kujiunga na siasa. Jamaa alikuwa na pesa hata kabla ya kuwa mwanasiasa. Neno "Sonko" ni neno la sheng na lina maana ya "Tajiri", "Bwenyenye"
yule ni fisadi kabla ya siasa alikua muuza madawa ya kulevya na hio ndio kazi iliomtajirisha acheni kufaria mafisadi juzi katolewa kwenye uongozi kisa ufisadi
 
Back
Top Bottom