Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kilimo cha tumbaku Tanzania. Wakunyaland wazembe hawawezi hata kulima tumbaku.
f82b27571b004d7c.jpg
DSC_0437.JPG
TUMBAKU.jpg
Zao-la-Tumbaku--620x309.jpg
 
mna miradi isiyo na future! hapa mnajenga mikiamini mtaendelea ku-supply mafuta kwa Uganda na other landlocked countries na si Uganda utawanyang'anya hiyo bishara!
Sisi hatuangalii Uganda. Oil terminal yetu ya sasa ni nzee sana. Ilijengwa zaidi ya miaka 30 zilizopita halafu ina capacity ndogo. Mahitaji ya mafuta ya Wakenya imeongezeka na hii oil terminal nzee haikidhi mahitaji yetu. Halafu pia iko less efficient. Ndio maana tunahitaji oil terminal mpya itakayoreplace hii nzee ambayo ina capacity ndogo na iko inefficient. Sisi hatujengi kwa sababu ya majirani bali tunajenga kwa sababu ya mahitaji yetu ya ndani. Hii mpya itakuwa na capacity kubwa kushinda hio nzee
 
Basi nikuukize conceive kwenye Lamu ilikuwa na maana gani!?
Ina maana kuwa engineers kwenye ministry of transport walikaa chini na kuunda master plan ya kujenga Lamu port enzi za 1970s. Ila plan hio haikutekelezwa hadi mwaka wa 2012.
 
Ina maana kuwa engineers kwenye ministry of transport walikaa chini na kuunda master plan ya kujenga Lamu port enzi za 1970s. Ila plan hio haikutekelezwa hadi mwaka wa 2012.
So since 2012 mmeanza kutekeleza!? Almost 10 years. Are you serious!?
 
Cranes is not part of the construction bwana. Wakati contractor anapewa kazi anaambiwa ajenge berths na container terminals. Mambo ya kuagiza cranes ni jukumu la Kenya Ports Authority na wala haimhusu contractor. Kwa hivyo contractor akisema kuwa ujenzi umefikia 90% basi yeye anaangalia mambo ya berth na container terminal pekee. Akimaliza anafunga virago na kuenda nyumbani. Ujenzi unakuwa umekamilika. Hata cranes zisiponunuliwa kwa miaka kumi bado ujenzi utakuwa umekamilika
Soma hapa tony, nakusaidia kuona kilichoandikwa hata kama ume block utaona utake usitake
Wakenya wapumbavu sana, kichwani kwao wanawaza mahindi tu, Hakuna zao hata 1 Kenya inaipita Tanzania kwa uzalishaji, na hawatakaa mpaka dunia inaingia kaburini
 
Ina maana kuwa engineers kwenye ministry of transport walikaa chini na kuunda master plan ya kujenga Lamu port enzi za 1970s. Ila plan hio haikutekelezwa hadi mwaka wa 2012.
Yeye hajui hii Ni project ya vision 2030,inamaana by that time inatakiwa kuwa complicated,,na bado 10yrs imebaki so haija chelewa
 
Back
Top Bottom