Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

[emoji23][emoji23]nakumbuka yule msanii wao wa kijaruo mpaka akamtungia wimbo.

hawa watu wanajiona wamesoma,lakini badala ya kuelimika wakaishia kujua kiingereza tu,yaani obama angekuwa na asili ya tz i doubt kama hata kuna mtu angehangaika kujuza ulimwengu.

sisi sio kwamba hatuchangamkii fulsa,ila ni watu wenye majivuno,hatupendi shobo[emoji1][emoji1].
ona sasa hivi kiko wapi!!jamaa ndio kwaanza anazurula nchi za wapi sijui huko baada ya kustaafu,hata kuamua kuja kukaa na bibi yake hapo korogocho kaona atanuka[emoji41].
Na hapendi kabisa kuhusishwa na Kenya, shobo zao tu hawa matahira [emoji3][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatu bora 😂 😂 😂

Kuna sehemu wameandika tatu bora ukipata tag me 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 nye nye nye sisi matajiri sisi tuna GDP kubwa kuliko europe nzima 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 kumbe munanyea debe
9E3C6327-3914-4DE5-9E87-5976D209E8B2.jpeg
 
[emoji23][emoji23]nakumbuka yule msanii wao wa kijaruo mpaka akamtungia wimbo.

hawa watu wanajiona wamesoma,lakini badala ya kuelimika wakaishia kujua kiingereza tu,yaani obama angekuwa na asili ya tz i doubt kama hata kuna mtu angehangaika kujuza ulimwengu.

sisi sio kwamba hatuchangamkii fulsa,ila ni watu wenye majivuno,hatupendi shobo[emoji1][emoji1].
ona sasa hivi kiko wapi!!jamaa ndio kwaanza anazurula nchi za wapi sijui huko baada ya kustaafu,hata kuamua kuja kukaa na bibi yake hapo korogocho kaona atanuka[emoji41].
Naona umeanza kutumia kiswahili cha Kenya. Hapa Kenya neno bibi lina maana sawa na mke. Huko TZ neno bibi lina maana sawa na nyanya au mama wa mzazi wako.
 
Mi nakwambia hii wiki tutahangaika kuchat wenyewe humu ndani Wakenya wengi wako ushagoo,huko hukuna network wala umeme tusubiri warudi Nairobi tofauti sana na Tanzania...tehetehetehe
Kenya sio shit-hole kama Tanzania. Likija kwenye suali la mobile teleconnectivity Kenya tuko mbele ya nchi zote Africa Mashariki. Tuna smart phones nyingi per capita. Tuna internet subscribers wengi per capita. Tuna mobile money users wengi per capita. Yaani wacha tu. Dunia nzima inajua kwamba Mobile money ilianzia Kenya. Tanzania bado haijulikani kwa jambo lolote linalohusu technology.
 
Mmmmh mtanzania na Kenya wapi na wapi? Watanzania wana history ya kuzamia SA na nchi nyingine za kusini tena ni zamani, sijawahi kusikia mkasa wa mTanzania kwenda Kenya kutafuta maisha hata siku 1 na utu uzima huu nilionao,

Kwa maisha yapi mliyonayo mtanzania ashawishike kuja huko jalalani? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] FYI wakenya ndio wamejazana Tanzania kufanya kazi za housekeeping, waitresses, babycare, zungukia kwenye mahotel na mashuleni wakenya wanapigika kisawasawa
Naona umeanza kuumia sasa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Maids na mashamba bly wamejaa kibao hku, eti hujui watz walioko hku na wakati mi wakenya ninaowaju hko lwenu wanafanya proffessional jobs..

Mkenya afanye kibarua tz kw ile mishahara yenu[emoji1787][emoji1787]
 
Ni kijani kwa sababu mumeshindwa kujenga majumba huko.
Daaah wakati mwingine Kenya huwa mnazingua Sana alokwambia utajiri unapimwa kwa majumba Nani? Naenda nchi kama Denmark na Australia ujifunze kitu bro 🙂In Tanzania we have all kinds of developments hatujengi ovyo,kuna sehemu tunazitemea kwa vilimo Sisi si kama nyie wazee wa apartments kila Kona hatutaki Kula matofali in the future kama nyinyi majirani zetu😃
 
Na hapendi kabisa kuhusishwa na Kenya, shobo zao tu hawa matahira [emoji3][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
Eti hapendi kuhusishwa na Kenya? Wakati baba yake alipofariki, Obama wakati huo bado alikuwa mwanafunzi wa chuo kikuu, alipanga safari in the 1980s na kuja Kenya kutembelea familia yake yote kwa muda wa mwezi moja. Baadaye alipopata mchumba akaja tena Kenya na michelle Obama kwa mara ya pili. Mara ya tatu ilikuwa ni wakati alikuwa senetor wa Chicago mwaka wa 2006. Mara ya nne ilikuwa ni wakati alikuwa rais mwaka wa 2015. Mara ya tano ilikuwa ni miaka mitatu iliopita wakati alikuwa amestaafu. So unadanganya unaposema kuwa hapendi kujihusisha na Kenya. Kwa vitabu vyake vyote ametaja Kenya mara nyingi na haogopi kusema kuwa babake ni Mkenya.
 
Daaah wakati mwingine Kenya huwa mnazingua Sana alokwambia utajiri unapimwa kwa majumba Nani? Naenda nchi kama Denmark na Australia ujifunze kitu bro 🙂In Tanzania we have all kinds of developments hatujengi ovyo,kuna sehemu tunazitemea kwa vilimo Sisi si kama nyie wazee wa apartments kila Kona hatutaki Kula matofali in the future kama nyinyi majirani zetu😃
Sio mashinani tu bali hata Dar nimeona hakuna apartments. Nyie ni bure kabisa. Mnatuaibisha sisi wana Afrika Mashariki.
 
Back
Top Bottom