Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Haya maisha ni magumu kupitiliza!!

Kwanza nawaza chakula cha 30ksh ni chakula gan sijui alikula mandazi.??

afu kama chakula cha 30 ndio cha kristmas huyu mtu siku za kawaida anatumia shngp kwa chakula na anakula nn??

Au ndo leo nakula kesho sipati chakula kesho kutwa majaaliwa?? Nchi ya gdp bana ndo mana me naiita nchi ya kusadikika.
Ksh 30 ni sawa na mia sita hvi kaaaah🙌
 
Haya maisha ni magumu kupitiliza!!

Kwanza nawaza chakula cha 30ksh ni chakula gan sijui alikula mandazi.??

afu kama chakula cha 30 ndio cha kristmas huyu mtu siku za kawaida anatumia shngp kwa chakula na anakula nn??

Au ndo leo nakula kesho sipati chakula kesho kutwa majaaliwa?? Nchi ya gdp bana ndo mana me naiita nchi ya kusadikika.
hawa watu nyuma ya twitter wana maisha ya hovyo sana duniani.
 
Hahaha!!povu la kimataifaa hili, kwhyo mtu aliyeingia nchini kinyamela na kuanza kuzurura na kufanya vibarua vidogo vidogo atakua ni raia halali sio[emoji1787]

Kwanza bado kuna watanzania wengi sana ndoto zao ni kuja wa hustle kenya walau kw mda mchache angalau nao watoke ila kwa wengine mambo huwa magumu zaidi..
Hakuna na haitowahi kutokea mtz wa ss atoke Tz eti aende kenya kusaka life hakuna hicho kitu, Watz wote tunajua Kenya ni jehanam ndogo hapa duniani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tanzania tuachage ubaguzi. Kuna walimu wangapi wa kitanzania huko nje ya nchi? Haya ni mambo yakizamani kwa kweli.
Tumeamua iwe hvyo so hizo nchi zingine nazo ni juu yao kufanya km cc, kuna sheria zipo America lkn hazipo Tz so huwezi kufanya kitu kwa kuangalia mwenzio anafanya nn.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Magomeni kota Dar kama Dar
IMG_20201226_002057.jpg
IMG_20201226_002100.jpg
IMG_20201226_002050.jpg
IMG_20201226_002054.jpg
 
Labda kwako, lkn ukwel haubadiliki..
Yani kuanzia masai mpka wengine wote kenya wamerundikana..
Tena wanafanya kazi za mikono tu
Mmmmh mtanzania na Kenya wapi na wapi? Watanzania wana history ya kuzamia SA na nchi nyingine za kusini tena ni zamani, sijawahi kusikia mkasa wa mTanzania kwenda Kenya kutafuta maisha hata siku 1 na utu uzima huu nilionao,

Kwa maisha yapi mliyonayo mtanzania ashawishike kuja huko jalalani? 😂😂😂😂 FYI wakenya ndio wamejazana Tanzania kufanya kazi za housekeeping, waitresses, babycare, zungukia kwenye mahotel na mashuleni wakenya wanapigika kisawasawa
 
Ww unafanya kazi za miguu au.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha Ethiopians na Somalians wana maisha mabovu kupindukia lakini kila siku tunawakamata Tanzania wakielekea SA, huyu ngedere anasema watanzania wanaishobokea Kenya, kwa hiyo Ethiopians na Somalians wana maisha mazuri kuliko watanzania? Wao waone Kenya ni takataka sie tuone Kenya kwa maana? Hajielewi

Unajua wakenya walipumbazwa sana na mababu zao kuaminishwa kwamba wao ndio first world hapa na nchi nyingine zote ni hovyo, sasa baada ya utandawazi taratibu wanaanza kujiona walivyo hovyo

Kuna mpaka dogma walimezeshwa na viongozi wao eti Nyerere alisema watanzania wanawish kwenda Nairobi more than London 😂😂😂😂

Hapo juu tena nasoma tweet ya mkenya confidently anasema Tanzania tumeanza kujenga barabara za lami awamu hii 😂😂😂😂😂

You can imagine namna walivyokua programmed na viongozi wao kwamba wao ndio wao but kwa ground wapo shittest like no one.
 
Mara Region Tanzania

Waangalie video hii wajionee Tanzania ilivyo na balanced development, Tanzania rural huko lakini umeme upo wa kumwaga, maji Safi, modern housings, barabara lami ya kiwango, utunzaji wa mazingira uliotukuka, hali ya hewa nzuri na mandhari ya kuvutia hakika Tanzania yapendeza 🇹🇿🇹🇿🇹🇿
 
Back
Top Bottom