Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hayo wasema wewe. Huijui hali yangu ya maisha!
Umeumia eeee[emoji1787][emoji1787]
 
kuendesha tu,,,,,,ni simple deal.......

ni udereva tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Heheh!!ushaanza kujitoa ufahamu sasa, mlifanya mistake sana kuingilia ishu za diaspora..
Nikupe nondo nyingine tena au nikuache kwanza upone jeraha
 
Mafukara nyie hamna jipya...endelen kushangilia floating bridge ya kikunya, wakati shule ndio hizi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1657625View attachment 1657626
WB ndio haoo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116]
Screenshot_20201222-213121_Samsung%20Internet.jpg
 
kuna huyo komora ameleta youtube link hapa anajidanganya eti kuna wakenya wapo U.S.A wanamiliki kampuni ya truck cars,,,,
nimemuambia kuwa alete jina la kampuni pia alete jina la aina ya hizo gari wanazozalisha...

soon ataescape,,,ngoja tuone mwisho wake[emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787]
Hao wakenya huko USA wanamiliki kampuni la usafirishaji mizigo, lenye idadi ya hayo malori, sio kampuni la kutengeneza magari, huyo ni zuzu achana naye.
 
LOL kumbe ni just forwarders
Sa mbona hayo mambo ya kawaida sana kwa Tanzania diaspora [emoji28][emoji28][emoji28]

Serengeti freight inayomilikiwa na mtanzania ni kubwa kuliko hicho kituko cha Kenya komora096

View attachment 1657605View attachment 1657606

[emoji23][emoji23][emoji23] huyo jamaa alievaa koti la draft kushoto namfaham.. anaitwa Chris Lukosi yuko UK nae kaanzisha kampuni yake ya forwarders inaitwa KC.. ofisi zake kwa Dar zipo kule Mikocheni

IMG_1608727406.997155.jpg

so kama ni “hivyo” sisi tumewapiga bao zaid
 
[emoji23][emoji23][emoji23] huyo jamaa alievaa koti la draft kushoto namfaham.. anaitwa Chris Lukosi yuko UK nae kaanzisha kampuni yake ya forwarders inaitwa KC.. ofisi zake kwa Dar zipo kule Mikocheni

View attachment 1657662

so kama ni “hivyo” sisi tumewapiga bao zaid
Member wa JF longtime sana 😅😅
 
[emoji23][emoji23][emoji23] huyo jamaa alievaa koti la draft kushoto namfaham.. anaitwa Chris Lukosi yuko UK nae kaanzisha kampuni yake ya forwarders inaitwa KC.. ofisi zake kwa Dar zipo kule Mikocheni

View attachment 1657662

so kama ni “hivyo” sisi tumewapiga bao zaid

so wadau.. huyu jamaa yuko vizur kwenye hii kazi.. pia huwa ana minada ya vitu mbalimbali online.. pitieni page mtafurahia
 
kuna mmoja anajidanganya hapa kaleta kampuni ya truck ipo huko marekani anadai kuwa kuna wakenya huko U.S.A wanamiliki ndiyo namuambia hapa alete jina ya hiyo kampuni pia na jina la gari wanazozalisha...[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

nimecheka sana yaani ukitaka kumuenjoy mkenya ingia kwenye kipengele cha comparison lazima naye aje kujitutumua hata kwa uwongo ili mladi ajifurahishe...
Fala yule demu eti "mkenya anamiliki kampuni ya kutengeneza magari America" (huku anabana pua) labda hizi [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205]
JamiiForums-55564999.jpg
 
Back
Top Bottom