Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huyu ndie waziri aliefeli kazi yake kenya

Ndio walisema kwamba "is the best minister for health in Africa" alitajwa na "New York Time, eti kwasababu kila siku alikua anasoma na kutangaza Corona

Hawa mawaziri wa Kenya ukiacha Matiang'i hakuna hata mmoja mwenye kiwa na sifa ya kuwa waziri chini ya utawala wa Magufuli, kuna yule Macharia, Chatles Keter wa Nishati, yaani ni vichekesho kabisa.
 
Ndio walisema kwamba "is the best minister for health in Africa" alitajwa na "New York Time, eti kwasababu kila siku alikua anasoma na kutangaza Corona

Hawa mawaziri wa Kenya ukiacha Matiang'i hakuna hata mmoja mwenye kiwa na sifa ya kuwa waziri chini ya utawala wa Magufuli, kuna yule Macharia, Chatles Keter wa Nishati, yaani ni vichekesho kabisa.
Nmeshangaa vile mnajua mawaziri wetu,mi hata mmoja kutoka Tz simjui🤣🤣👏
 
Wakenya mkianza kufikia hapa semeni jambo
38a95074195eba903aca790.mobile-gallery-large.jpg
f592376711559cc9ef8bb007970a3fd996577003.jpeg
zoomtanzania-2636-1581014900-5e3c5f744bdda.jpeg
kodtec-dry-iron.jpg
42388124_2081253188871269_725921658539343872_n.jpg
 
Angalau mwenzako hapo kakubali, sasa sijui wewe unatakaje..Kwn wewe ilkua unafikiria EA mpo namba ngapi vile

Aha haaa
Usizushe swali lingine. Mimi nimekuuliza uliposoma, ilipaswa unioneshe. Then kesi kwisha. Mfano mimi nikiulizwa umesoma wapi kwamba Kenya ni masikini wakati ni mido ekonomi kantri!!!?
Nitakuonesha (lkn usinipopoe na mawe maana siyo mimi nimesema, ni WBG) hapa. 🤣🤣🤣
👇🏽👇🏽👇🏽
 
Acha kuumia, yani mtu kumiliki kitu kidogo uchina basi imekua gumzo..
Kuna wakenya nje wanapiga hela acheni ishu ndogo ndogo hapa..


wacha kujidanganya wewe,,,

kwahiyo hiyo kampuni ya hizo truck anamiliki mkenya...?

tutajie jina la kampuni pia jina ya hiyo brand inayozalishwa hapo
 
Screenshot_20201223-092657.jpg



RAIS mteule wa Mararekan,i Joe Biden, amemteua Jenerali Mstaafu, Lloyd Austin, kuwa waziri wake wa ulinzi, vyombo vya habari vya Marekani vimeripoti.

Iwapo ataidhinishwa, Austin mwenye umri wa miaka 67-ambaye alistaafu mwaka 2016, atakuwa Mmarekani wa kwanza mweusi kuwahi kuiongoza Pentagon. Austin anasubiri kuthibitishwa na bunge.

Biden amekuwa akikabiliwa na shinikizo kutoka kwa jamii za Wademoctrat Weusi, Waasia na Walatino wakimtaka kuteua watu kutoka jamii hizo, kuchukua nyadhifa za uwaziri.

Jenerali Austin alihudumu chini ya utawala wa Obama, akiongoza kituo kikuu cha Marekani kinachotoa amri kuu za kijeshi, ambacho wajibu wake ulikuwa ni pamoja ni kutoa miongozo kuhusu Mashariki ya Kati na Asia kati ya mwaka 2013 na 2016.

Alishiriki pia kwenye kupanga mashambulio dhidi ya kundi la Islamic State katika nchi za Iraq na Syria.

Kabla ya hapo alikuwa naibu mkuu wa majeshi, na jenerali wa mwisho wa vikosi vya majeshi ya Marekani nchini Iraq. Katika miaka hii alifanya kazi kwa karibu na Biden, ambaye alikuwa ni makamu wa rais katika utawala wa Obama.

Austin ana sifa ya uongozi bora na mchapa kazi, kutoa mahojiano kidogo kwa waandishi wa habari na kuchagua kukutoongea wazi kuhusu harakati za kijeshi.
 
Watoe wapi? Makampuni ya pombe Kali na maji ndo yako mengi
kuna mmoja anajidanganya hapa kaleta kampuni ya truck ipo huko marekani anadai kuwa kuna wakenya huko U.S.A wanamiliki ndiyo namuambia hapa alete jina ya hiyo kampuni pia na jina la gari wanazozalisha...

nimecheka sana yaani ukitaka kumuenjoy mkenya ingia kwenye kipengele cha comparison lazima naye aje kujitutumua hata kwa uwongo ili mladi ajifurahishe...
 
Nmeshangaa vile mnajua mawaziri wetu,mi hata mmoja kutoka Tz simjui
sasa ndiyo ujijue kuwa hujui mambo mengi,na si mfuatiliaji wa vitu vingi ndiyo maana huwa unaropoka kwa vitu usivyovijua kwa kujifanya unavijua....
 
Back
Top Bottom