Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yani hawachekeshi kabisa serious yn, na jinc wanavyoongea na kutamka maneno yao hovyo kabisa, mm kwa hapa EA ukitoa wabongo labda teacher Mpamile wa Uganda, but hawa wasenge wa Kenya hamna kitu.
Pale mtanzania anapojipumbaza kisa kazidiwa[emoji23][emoji23]
Mwenzako kaweka chuki pembeni na kuamua kujisemea ukwel, kwn hicho unachokisema wakati anayasema hayo yote ilikua hajui km hawachekeshi..

Endekeza chuki tu
 
Hawa wamekuja juzi tu lakini, huyo mpuyangaji wenu hawafikii

View attachment 1657011
Hao heri wazidi kujipumbaza vijana hko hko youtube, lkn watu wazima na akili zao wanenda churchill kujibudurisha[emoji23][emoji23]

Nani awaalike hao wazee wakujitoa ufahamu katika matamasha tao ili wachekeshe watu na akili na zao..
Kwn commedy mpka ujitie utahira
 
Barabara nadhani ndani ya wikii hii eneo la upande wa oysterbay linapoishia daraja kuelekea Coco Beach ,

kipande kati ya Daraja na Kenyatta inapokutana na Toure Tayari lami ishawekwa kama ifuatavyo.


View attachment 1657105
View attachment 1657106

View attachment 1657110


Kipande kuanzia Toure na Kenyatta mpka ubalozi wa Uturuki kinaisha Wiki Hii kama maana kipo stage ya mwisho kumwagwa Lami.


View attachment 1657109

Kitabaki kipande kuanzia Coco Plaza hadi Seacliff.
safi sana tunasonga
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ebana hilo cheko kama lote🤣🤣🤣
 
Dar to moro👇👇👇
7B484AEC-4419-41D9-9B03-39614E8B5115.jpeg
 
Back
Top Bottom