For the time being wagon ferry ndo zinatumika ..Hii standard gauge bana. Naona mpka leo phase 3, phase 4,phase 5 hazijapewa mkandarasi na ujenzi wenywe ndo uo unachukua miaka kwa vyovyote vile kukamilika itakua zaidi ya 2026. So swali ni kwamba uganda wataweza kusubiria hii yetu mpka ikamilike waunge ya kwao??
You have poor tasteNaongea mm kama mm erick omondi sioni anachochekesha atleast uniambie njugush kidogo ntakuelewa
Nani anayechekesha Kenya alafu na mm niweke wanaochekesha Bongo ili upime mwenyewe utacheka wapi, wacha maneno maneno apa.As much as I hate kuwasapoti wakenya kwenye lolote but comedy wapo juu aise.. this nqqas funny bruh. But is because they are dumb
Huwa hata simwangalii kabisa cz ananimalizia mb zng tu.Yani mm labda uniambie njugush nitakuelewa lakini erick omondi sioni anachochekesha kbisaaa![]()
Lakini ukumbuke SGR kenya imeishia naivasha na wameanza kufufua old meter na uganda ikiwa atajenga SGR inamaana lazima wafike washushe ndio wa load kwenye SGR tayar kuna muda utapoteaCha kwanza mm sio bwege... Na pia inaokena una panic ovyo na unashida kufikiri vizuri
Cha pili nimekwambia kwamba loading and unloading time ni disadvantegous kwa upande wa Tz...compared na Mombasa..ambapo reli inaenda straight
So ili Tz kuwa na advantage hio..i see a direct line thtough Geita to Kagera then Uganda will be more beneficial kwetu ili mzgo ukishapakiwa Uganda unafika Dar direct
Hakuna mkamilifu chini ya jua so mapungufu yake tunayapotezea as long as yanafunikwa na mazuri yake.Baba Lao! Sema anamapungufu yake Ila ni mchapa kazi! Tunampendea Hilo big up 255 my mother land big up Magufuli!
Sasa unanilazmisha nicheke na mtu sioni akichekesha, bro be serious basi 😅😅😅You have poor taste
Marcopolo G7
uganda kwenye aviation saiz wako moto.. wanaongeza ndege. M7 kawa inspired na Magu
Polee loading ya wapi lake ports ama sea ports? Ikiwa any of those, ina maana huna habari na maboresho yanayoendelea? Usitafute league mzee!Cha kwanza mm sio bwege... Na pia inaokena una panic ovyo na unashida kufikiri vizuri
Cha pili nimekwambia kwamba loading and unloading time ni disadvantegous kwa upande wa Tz...compared na Mombasa..ambapo reli inaenda straight
So ili Tz kuwa na advantage hio..i see a direct line thtough Geita to Kagera then Uganda will be more beneficial kwetu ili mzgo ukishapakiwa Uganda unafika Dar direct
Oyaa najua you are trying to be a good patriot for your country but kunyans kwa comedy wapo juu. Kwa bongo mpoki tu labda na joti. Na mpoki is more of majungu coz wabongu sisi na watu wa majungu but all in all top tier kwa comedy kunyans wametu zidi kidogo.Nani anayechekesha Kenya alafu na mm niweke wanaochekesha Bongo ili upime mwenyewe utacheka wapi, wacha maneno maneno apa.
aaawapiii!Oyaa najua you are trying to be a good patriot for your country but kunyans kwa comedy wapo juu. Kwa bongo mpoki tu labda na joti. Na mpoki is more of majungu coz wabongu sisi na watu wa majungu but all in all top tier kwa comedy kunyans wametu zidi kidogo.
kumbuka sgr ya kenya inapoishia kuna ka mwendo mpka ufike old mgr so uta offload ubebe kwenye malory mpka kwa mgr alafu u-load tena kwenye mgr way way expensive and time consuming as compared to tz optionLakini ukumbuke SGR kenya imeishia naivasha na wameanza kufufua old meter na uganda ikiwa atajenga SGR inamaana lazima wafike washushe ndio wa load kwenye SGR tayar kuna muda utapotea
Ww ni mbongo wawapi hujui kiswahili.Oyaa najua you are trying to be a good patriot for your country but kunyans kwa comedy wapo juu. Kwa bongo mpoki tu labda na joti. Na mpoki is more of majungu coz wabongu sisi na watu wa majungu but all in all top tier kwa comedy kunyans wametu zidi kidogo.
We wa wapi?Oyaa najua you are trying to be a good patriot for your country but kunyans kwa comedy wapo juu. Kwa bongo mpoki tu labda na joti. Na mpoki is more of majungu coz wabongu sisi na watu wa majungu but all in all top tier kwa comedy kunyans wametu zidi kidogo.
waweke wote...JPM uwa ana karata ya mbali ukitishia kujamba yeye anakunya kabxa..wakenya mlitaka kuua uchumi wa TZ..Ngariba haogopi Mkojo wacha tuwakekete bila Ganzi..Najua kwa mlivyo vilaza wa kiswahili hamtaelewa hii sms lakini dole limewaingia jiandaeni kulinusa
...Merry C-max in advance
