Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Jonga la mwaka embu angalia mahali uliweka 37 alfu sema tena icho umeandika hapo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1655310
Hapo kwa anayejua Geography wala hapati tabu kuelewa kwamba Dar ni submerged coast, so obvious lazima iwe chini zen maji yawe juu, hapo kwenye hyo picha kwa msomi aliyesoma Geography olevel lazima ajue kwamba hapo kuna baadhi ya floors km mbili before ground floor hazionekani kwasabu ya kuzibwa na maji.

Kama unabisha angalia level ya maji na hyo boat viko juu mpk floor imezibwa apo.
 
How many floors can you see here?[emoji23][emoji23][emoji23] Nimejaribu kuwa lenient nakahesabu hadi ground yenye haifai kuhesabiwa[emoji23][emoji23][emoji23].[emoji116][emoji116] Mimi nimehesabu 36 floors + ground flour.View attachment 1655169
So waliojenga ni wehu 🤣🤣👇👇👇
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…