Mr_X
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 1,170
- 2,339
Chief naona kwa punch za jana teargass kapotea kabisa leo[emoji16][emoji16][emoji16]Huyu ni nurse nahisi ako kwa mgomo [emoji3][emoji3][emoji3]
Chief naona kwa punch za jana teargass kapotea kabisa leo[emoji16][emoji16][emoji16]Huyu ni nurse nahisi ako kwa mgomo [emoji3][emoji3][emoji3]
Subiri nikuache jirani 😏Ushalemba tayari
Basi apo utakuta vi apartment vinapigwa picha upande upande unaoneshwa, juu heading kuubwaa "Kileleshwa" kumbe uki zoom vundo la chizi [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hehehehee jana tumempa makavu so leo kajifanya ku mute ili tumuone ana kazi za kufanya kumbe hana kazi yoyote anatuchora tu apa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Chief naona kwa punch za jana teargass kapotea kabisa leo[emoji16][emoji16][emoji16]
Dar er salaamView attachment 1650191
Hebu zoom utuoneshe hzo slums ili tubadili meaning of slums [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Dar kama dar [emoji28]View attachment 1650182View attachment 1650184
Yes, haya ndio makazi ya watu wa kipato cha chini, hizo nyumba zote ni blocks, sio mabanda ya bati, zina madirisha, kila nyumba kuna choo, kuna barabara za gari kufika, kuna mfumo wa kukusanya takataka, kuna maji ya bomba na mifumo ya maji machafu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dar kama dar [emoji28]View attachment 1650182View attachment 1650184
Teargass rudi mkuu, tumekukumbuka[emoji3][emoji3][emoji3]Hehehehee jana tumempa makavu so leo kajifanya ku mute ili tumuone ana kazi za kufanya kumbe hana kazi yoyote anatuchora tu apa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kijiji[emoji1787][emoji1787]Dar kama dar [emoji28]View attachment 1650182View attachment 1650184
Hizi nazo vipi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]eti makaazi ya kipato cha chini, si ungeliita kijiji kabisa manake hzo sehemu wanamiliki..Yes, haya ndio makazi ya watu wa kipato cha chini, hizo nyumba zote ni blocks, sio mabanda ya bati, zina madirisha, kila nyumba kuna choo, kuna barabara za gari kufika, kuna mfumo wa kukusanya takataka, kuna maji ya bomba na mifumo ya maji machafu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hakuna nyumba za bati Dar uliza jamaa zako wanaoishi huku wakuambie.Hizi nazo vipi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]eti makaazi ya kipato cha chini, si ungeliita kijiji kabisa manake hzo sehemu wanamiliki..
Mtu anayemiliki kiwanja nairobi hawezi jenga huo utopolo aiseeView attachment 1650230View attachment 1650231View attachment 1650232