The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,616
- 98,847
Hii insha yote umeandika hapa wala sisomi cz haina uthibitisho.kaangalie kimya kimya usijali, sitaki kukuumbua...
Jamaa atoe video nje ya nchi alafu asiseme[emoji1787][emoji1787]
Tena mtanzania, meno ya bandia ambayo hta wahuni mitaani wanabandika yeye kajiropokea airport itakuja video aliyoifanya nje ya nchi...
Si angeliuja hapa na kujisifia kw kukomboa ma dancer na washirika wengine kadhaa hadi hko mwisho amalizie mziki unalipa bana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app