The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,616
- 98,847
Wuhuhuuu!!Hakuna nyumba za bati Dar uliza jamaa zako wanaoishi huku wakuambie.
Sent using Jamii Forums mobile app
Thibitisha kwmb hapo ni Dar.Wuhuhuuu!!
Basi hapo ni wapi na ulijuaje km hzo si za dar..
Ndani ya dar[emoji1787][emoji1787]View attachment 1650240
Wasanii wote wa tanzania labda wewe ulete interview ya hyo video walikoitolea..
Hapo hujibiwi unajisumbua bure tu[emoji1787][emoji1787]
So hapa ndo umethibitisha [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Wasanii wote wa tanzania labda wewe ulete interview ya hyo video walikoitolea..
Wasani wa bongo hawaachi kitu kabisa, km katoa video hata ni somalia atasema tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kiki ndio maisha yao
Moja best[emoji91]
Kwmb uyo jamaa ni mgeni humu au co [emoji2][emoji2]Hapo hujibiwi unajisumbua bure tu[emoji1787][emoji1787]
Huyo hko ku post ndio kazi yake special, labda umjibu kw picha wala sio vi emoji
Km meno tu alivyofika airport kapayuka itakuja video ya nje ya nchi[emoji1787][emoji1787]So hapa ndo imethibitisha [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hajibu upupu huyo na emojis huyo, mwnywe kaamua kuwakaanga na picha tu
Ndo uweke ss iyo behind the scene.Km meno tu alivyofika airport kapayuka itakuja video ya nje ya nchi[emoji1787][emoji1787]
Narudia tena video hyo ya singeli imetolewa bongo wala sio nje ya nchi, we ukitaka lia au uende ukaangalie behind the seen..
Lipi jipya ambalo amepost zaidi ya kurudia picha zilizopostiwa tangu enzi za AnnaelHajibu upupu huyo na emojis huyo, mwnywe kaamua kuwakaanga na picha tu
kaangalie kimya kimya usijali, sitaki kukuumbua...
Ugua pole poleLipi jipya ambalo amepost zaidi ya kurudia picha zilizopostiwa tangu enzi za Annael
Sent using Jamii Forums mobile app
Nairobi inajulikana ni ile ile hakuna jipya, yn kwa kifupi mshamaliza wkt Dar tunapost vitu vipya daily na hatujamaliza [emoji2][emoji2][emoji2]Hajibu upupu huyo na emojis huyo, mwnywe kaamua kuwakaanga na picha tu
Hahaha!!nimekupuuzaNairobi inajulikana ni ile ile hakuna jipya, yn kwa kifupi mshamaliza wkt Dar tunapost vitu vipya daily na hatujamaliza [emoji2][emoji2][emoji2]
Sent using Jamii Forums mobile app