The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,485
- 98,529
Kwahiyo km hiyo bridge ipo China haiwezi kujengwa km hiyo Tz? Hiyo ni proposed inaweza ikawa hiyo na isiwe hiyo vile vile kwamba ikachukuliwa nyingine kali zaidi ya hiyo cz pesa tunayo na tegemea hayo kutokea ulie au ucheke.Alafu na tabia zako za kuiba picha kumbe hujaicha?Sasa mbona uibe hii picha from China?
View attachment 1649416
Nyie watu mnaotumia mifuko kukunya mna tabu kweli, tukiweka proposed projects humu huwa mnagoma ila upon completion mnaanza kulia lia kisa tu Kunyaland hakuna.



