Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

We nawe wacha aibu ndogo ndogo, ss seychelles si ni mkoa tu huwezi linganisha na giant Tz.
Seychelles bado ni country. By the way hata SA wana higher electrification rate kushinda TZ. So pengine nyinyi ni namba 1 hapa Afrika kwenye ndoto zenu.
 
Uwanja wa ndege wenye runway kubwa + cargo terminal kubwa pamoja na pasenger terminal ya kuhandle 5M+ Arusha ili kuhakikisha hakuna mfanyaiashara yeyote anaeweza kufikiria kuhusu jkia hiyo kanda
Bila kusahau flyovers 2+ na mijengo kama 2+ yenye 30+ floors Arusha.
Mwisho kabisa ni SGR kutoka Dodoma hadi Arusha bidhaa zishuke bei na kuteka soko maeneo ya mpakani.
Haya yakifanyika kikamilifu basi tutateka uchumi wa EA kirahisi na league ya nairobi itaishia Arusha huku DSM na DOM zikipambana na tokyo, new york, n.k
Nyie watu wa Arusha mnapenda Kenya. Na sisi tunawapenda. Najua mtazidi kututegemea kwa mambo mengi tu.
 
Uwanja wa ndege wenye runway kubwa + cargo terminal kubwa pamoja na pasenger terminal ya kuhandle 5M+ Arusha ili kuhakikisha hakuna mfanyaiashara yeyote anaeweza kufikiria kuhusu jkia hiyo kanda
Bila kusahau flyovers 2+ na mijengo kama 2+ yenye 30+ floors Arusha.
Mwisho kabisa ni SGR kutoka Dodoma hadi Arusha bidhaa zishuke bei na kuteka soko maeneo ya mpakani.
Haya yakifanyika kikamilifu basi tutateka uchumi wa EA kirahisi na league ya nairobi itaishia Arusha huku DSM na DOM zikipambana na tokyo, new york, n.k
Bidhaa zinashuka vp bei kwa kujenga SGR Dodoma-Arusha na si Tanga-Arusha-Musoma? Wakati cities hizi mbili si wazalishaji wakubwa? Na unawezaje kutaka serikali ijenge towers za ghorofa 30 na si watu binafsi? BTW uwanja wa KIA haujawa exhausted yet unataka uwanja wa 5mln PAX! Seriously?
 
20201212_102851.jpg

Cc Geza Ulole joto la jiwe
 
Wakunya mlioko slums za;

Kayole-masimba
Kawangware 46
Kibera mwisho wa reli
Kariobangi githembe
Mukuru kwa Ruben
Mukuru kwa Jenga
Ziwani kwa kim
Shauri moyo ali malengo shop
Majengo Kashmir
Mathare desert
Dandora phace 1,2,3,4,5 mwisho
Korogocho Balkans, na Grogon
Kiamaiko
Ngomongo
Kariadudu
Kasabuni

Kama sijataja ghetto lako piga kelele
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Wakunya mlioko slums za;

Kayole-masimba
Kawangware 46
Kibera mwisho wa reli
Kariobangi githembe
Mukuru kwa Ruben
Mukuru kwa Jenga
Ziwani kwa kim
Shauri moyo ali malengo shop
Majengo Kashmir
Mathare desert
Dandora phace 1,2,3,4,5 mwisho
Korogocho Balkans, na Grogon
Kiamaiko
Ngomongo
Kariadudu
Kasabuni

Kama sijataja ghetto lako piga kelele
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
hiyo slum ya kasabuni inakaaje? watu wanaogea jivu nini?
 
hiyo slum ya kasabuni inakaaje? watu wanaogea jivu nini?
Nikikwambia mkuu nilikuwa nafanya na shirika moja la urban slum dwellers tulikua tukiwapima vvu na kusikiza Kero zao na kuwapa misaada mingine kiukwel Hali za majirani zetu wanaokaa mitaa hiyo ni ngumu sana changamoto zao si haba unaweza ukalia kama moyo wako mdogo 😔😔😔😔
 
Seychelles bado ni country. By the way hata SA wana higher electrification rate kushinda TZ. So pengine nyinyi ni namba 1 hapa Afrika kwenye ndoto zenu.
Seychelles populatio hata 100k haijafika.

Land size 450km^2.

Nchi kama izi huwa hatuzihesabu kweny statistics kama izi kwasababa kwa Tz kuna villages zina populaton kama ya hao jamaa. Na land size kubwa zaidi.
 
Wakunya mlioko slums za;

Kayole-masimba
Kawangware 46
Kibera mwisho wa reli
Kariobangi githembe
Mukuru kwa Ruben
Mukuru kwa Jenga
Ziwani kwa kim
Shauri moyo ali malengo shop
Majengo Kashmir
Mathare desert
Dandora phace 1,2,3,4,5 mwisho
Korogocho Balkans, na Grogon
Kiamaiko
Ngomongo
Kariadudu
Kasabuni

Kama sijataja ghetto lako piga kelele
Na hapo ume orodhesha baadhi tu sidhani hata kama nusu umefika
 
Na hapo ume orodhesha baadhi tu sidhani hata kama nusu umefika
Kweli mkuu slums Nairobi huwezi ukamaliza Bora kwetu uswahilini changamoto zetu tofauti na za hawa jamaa mboga za majani kuanzia matembele,Chinese,bamia,nyanya chungu etc ziko affordable nivigumu kumkuta mbongo amelala njaa au Kala mlo mmoja japokua wapo wanaolala njaa lakini sio kwa style ya majirani zetu
 
Back
Top Bottom