Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yeah, mababara za Kakamega can do that work better.[emoji23][emoji1787][emoji23]
kwamba barabara za kakamega zimejumuisha na morden BRT?
umekula kweli wewe?

20201213_081002.jpg

nikama kichwani uko na povu za sabuni badala ya brain
 
Hahahaha hiyo ni Mombasa CBD yote yaani hapo ni 70% ya Mombasa yote [emoji23][emoji23][emoji23]
Hiyo sio Mombasa CBD, hapo ni liwatoni. Yani suburbs za Mombasa zimekuconfuse na CBD?[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji122][emoji122]
CBD ndio hii hapa.
images.jpeg
 
Hiyo sio Mombasa CBD, hapo ni liwatoni. Yani suburbs za Mombasa zimekuconfuse na CBD?[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji122][emoji122]
CBD ndio hii hapa.
View attachment 1648961
we [emoji205][emoji205]em kunywa maji na ukae kwa kivuli.....maaana ukiendelea ivi utadata trust me [emoji1241] itakufanya chizi
 
Yaani Misa anapata attention kubwa kichizi [emoji28][emoji28][emoji28]

Wanasema Tanzania tunapenda udaku? ktn inamhost Misa then wanatuita wadaku [emoji23][emoji23][emoji23]
wanapenda muziki wetu,showbiz, ligi yetu, miundombinu yetu, tour destination zetu, wanapenda kuishi kwetu,wanapenda chakula chetu, mademu zetu, wanaume wa tz, wanapenda kufanya kazi tz, hata viongozi wetu wanawapenda......listi na iendelee [emoji16][emoji16]
[emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241]baby

Teargass komora096 MK254 kikihboy hiii tuiitaje?
 
wanapenda muziki wetu,showbiz, ligi yetu, miundombinu yetu, tour destination zetu, wanapenda kuishi kwetu,wanapenda chakula chetu, mademu zetu, wanaume wa tz, wanapenda kufanya kazi tz, hata viongozi wetu wanawapenda......listi na iendelee [emoji16][emoji16]
[emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241]baby
Hahahaha na wanavyopenda kutulazimisha undugu 😅😅😅

Wanaomba siku 1 waamke wajikute wamekuwa watanzania 😆
 
Hahahaha na wanavyopenda kutulazimisha undugu [emoji28][emoji28][emoji28]

Wanaomba siku 1 waamke wajikute wamekuwa watanzania [emoji38]
yaniii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
wakiambiwa tz ni baba yao Ea wananuna
 
Back
Top Bottom