SGR Dom - Arusha ni karibu kuliko Tanga kwakuwa DSM - DOM Tayari. Mpaka waje kujenga Tanga - Arusha huwezi jua ni lini wataanza na hata wakianza still route ya dom-chuga ni muhimu kulink arusha to dsm, mwanza, kigoma, na mikoa mingine. Bidahaa zinazopatikana Dar ukienda chuga ni bei sana ukizingatia bandari ya dar ni hub
kuhusu KIA - Ili kuipa hadhi Arusha inatakiwa terminal zaidi ya iliyopo now na kufanya hivyo ni bora iwepo Arusha tu, KIA iko mbali sana na baadhi ya maeneo kama longido, n.k. Mbona kuna mwanza airport halafu wakajenga ingine chato?
Kuhusu maghorofa - kama wapo watu binafsi mbona hawajajenga? na swali limeuliza serikali ifanye nini