Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hakuna kitu mbaya kama wivu. Wivu imepeleka Ichoboy kwenye twitter handle ya KeNHA


Nilitaka kumubua jamaa yako 🤣🤣🤣👇👇👇👇👇 manina anataka kutudanganya mchana kweupe
2CDC8FA3-2ED8-4612-897B-24067E221A74.jpeg
B3D5F905-1156-457A-99FB-AFBC17484680.jpeg
18A02FCF-8014-4497-A781-579D27420B7D.jpeg
 
Mtu hata kujenga hawajaanza daraja la 120meter anakwambia 450m hata kujenga hawajaanza 🤣🤣🤣🤣🤣 yani sifa tu nyingi uhalisia sifuri 😅😅😅😅 kenha wanakwambi 120m yeye anasema 450m
 
Yani jubilee imeahidi kujenga daraja likoni tena kwa mbwembwe wakawa wanapost renders za kila aina miaka zaidi ya 40 alaf leo wanakuja kujengewe floating pedestrian bridge yani nimecheka sana alaf wanajisifu wenyewe🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 enhh Mungu wahurumie wakenya alaf utaski cost yake ni 1.7b ksh


F33E9554-461C-4940-A986-AB30BD01BCF3.jpeg
117053AB-9C5A-48E6-9686-3C784BF9A6CD.jpeg
 
Ila mchina Mungu anakuona 🤣🤣 dahhh ohh sisi nye nye nye hii ndio kitu ya 1.7b ksh
View attachment 1646411

hilo eneo lina maji throughout na mvuke kwa wingi.. na juu kuna daraja la chuma na sio concrete bridge!! hiv lifespan yake hapo wamesema ni miaka mingap?🤦🏽‍♂️ sidhan kama litazidi miaka kumi hili
hata akili za kuzaliwa nazo hawajazituma
 
Back
Top Bottom