Shebby01
JF-Expert Member
- Nov 11, 2020
- 2,520
- 5,872
Hawa jamaa kweli viliza aafu mpaka press conference 😂😂😂😂😂sijui wasimamizi pamoja na engineers walevi😂😂😂mchina anajitawala kwao😂😂Za kupeleka wapi wakati pesa za kujenga 4 to 6 carriageway + pedestrian sidewalk tunazo?
Ninyi fukara ndio mpambane na hizo urgent pedestrian floating bars na mara nyingi nijuavyo hujengwa wakati wa vita on urgent call. 😅



