Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mbona unafikiria kama kondoo?[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23] Wewe huoni hizo pillars ni concrate? Pillars za likoni ni concrate?[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787] nimekucheka mpaka basi ungekuwa karibu ningekuzaba kofi moja......

maana mzazi wako kapata hasara kubwa sana ya kukuzaa maana huna faida hapa duniani inawezekana hata kwake pia....

ushafeli mzee wa floating bridge
 
Bridge ikishakuwa na fixed permanent support pillars iyo sio floating tena,,

Hii yenu inazo fixed support kwaiyo iyo haiwezi kuwa floating
Ivi kama akili yako inafanya kazi iyo bridge yenu mnaweza * move foward by pulley??*
Huwa wanaongopewa na serikali yao lkn mwisho wa siku wanajengewa kitu tofauti and they can't argue [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Tangu lini ukajua maana ya floating bridge?[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23] Bado hujanijibu hiyo swali[emoji23][emoji23][emoji23]
So hii ni floating hii

[emoji116][emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
JamiiForums-1596077262.jpg
 
[emoji1787][emoji1787] nimekucheka mpaka basi ungekuwa karibu ningekuzaba kofi moja......

maana mzazi wako kapata hasara kubwa sana ya kukuzaa maana huna faida hapa duniani inawezekana hata kwake pia....

ushafeli mzee wa floating bridge
Wewe umeona concrete pillars hapa? [emoji23][emoji23][emoji1787] Alafu as you can see the middle part is movable.
Aerial-view-of-Liwatoni-pedestrian-floating-bridge-800x500.gif
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwamba hii ndio ile ahadi muliosubiri miaka 50[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 1647358
Wameanza kusema hyo ni temporary, ngj tuone, ila kwa jinsi nnavyoijua jubilee ngoma ndo ishaisha iyoo [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

NB: Upuuzi km [emoji3516][emoji3516] Magufuli anakuuwa wallahi [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom