Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unajua hawa wakenya wanatuonesha tu picha za hizo lakini i bet hawajui ida zake na hakuna official content inayo onesha total number ya helicopter walizo nazo that means their country army is also secretive about their army gadgets.. wa flex tu na picha lakini ndo ime ishia apo. Ata hivyo zinaweza kuwa za mikopo coz mhen.. its KENYA 🤣 nothing is really theirs example sgr
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Hata heri ungenyamaza tu, hiyo barabara ilijengwa 2013[emoji1787][emoji1787]
Na tayari imechoka km ilijengwa 60s, nyie watu are not wise at all [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Limeweza kuwashinda magaidi huko Msumbiji ndani ya wiki mbili, magaidi waliosumbua majeshi ya Msumbiji kwa zaidi ya miaka mitatu na kuteka eneo lenye ukubwa sawa na nchi ya Kenya[emoji23][emoji23][emoji23]
Na kuonesha kwmb tunajiamini ile cku ambayo majeshi yetu yanaenda kule Msumbiji tulisema humu kwmb cku c nyingi hutosikia choko choko na kweli wanaume wameenda kule now kimyaaa.

Nadhani wakenya wameanza kuelewa kwmb jeshi letu si la mchezo mchezo km KDF a.k.a wazee wa mikate [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
I like how the Kenyan guy was mature. Hakubishana naye.
Nigeria imeomba Tanzania kuisaidia katika kupambana na Boko Haram, ndio ujue kwamba jeshi letu sio mchezo. Kama Magufuli atakubali kupeleka jeshi, huo ndio mwisho wa Boko Haram
Unamuumiza sn cz unapiga panapouma [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Hakuna mwenye alikuomba helicopter ya polisi[emoji23][emoji23][emoji23]. Mimi nataka kuona helicopters za Tanzania airforce department[emoji1787][emoji23][emoji1787]. Venye unaendelea hivi utatuonyesha hadi ndege za ATCL and Precision Air[emoji1787][emoji1787][emoji23]
We fala nn hii ya police hii[emoji116][emoji116]
JamiiForums110310282.jpg
 
Maybe in another planet[emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787]. Here is the list of the strongest armies in East Africa
1. Ethiopia
2. Kenya
3. Uganda
4. Tanzania



Uimara na nguvu ya jeshi inakuwa determined na ushindi ambao jeshi husika inapata, haya tuambie vigezo gn vinafanya uiweke KDF apo? Je ni vita gn imewahi kushinda [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Hakuna mwenye alikuomba helicopter ya polisi[emoji23][emoji23][emoji23]. Mimi nataka kuona helicopters za Tanzania airforce department[emoji1787][emoji23][emoji1787]. Venye unaendelea hivi utatuonyesha hadi ndege za ATCL and Precision Air[emoji1787][emoji1787][emoji23]
Na wewe jitambue acha kubisha vitu kama mjinga ....uliona wapi chombo kilicho andikwa JWT alafu ikawa ya polisi?hata hayo mavazi huoni...
 
Na wewe jitambue acha kubisha vitu kama mjinga ....uliona wapi chombo kilicho andikwa JWT alafu ikawa ya polisi?hata hayo mavazi huoni...
Jamaa huwa wanapenda kubisha vitu ambavyo viko wazi 🙂🙂🙂
 
After all Mombasa Bridges are complete,,Mombasa will have a total of 6 Bridges ranging from (300+m to 1.4km) Long 😳😳😍🤣😝😝👏
 
Back
Top Bottom