Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

The last time I checked jeshi la Tanzania walitoroka mbio venye magaidi walifika mtwara[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]
TPDF hawajawahi kushindwa vita yoyote ile, hao magaidi walifanya makosa sana kuishambulia Tanzania, huo ndio mwisho wao kama ilivyokua kwa M23 huko DRC
 
Ww umetudanganya kwamba private ndo wanajenga terminal zao na lounge kwasababu nyie ni capitalist;;; kumbe reason hamna helaaaa
Ebu screenshot penye nilisema kitu kama hiyo[emoji23][emoji23][emoji23]. Alafu mwenye alikuambia kuwa Kenya stations zinajengwa na individuals pia was correct. Take this company for example.

FB_IMG_16076331996939003.jpeg
11ca1f42dcb6c835-1280x720.jpeg
 
Toa ujinga hapa. Those terrorists were killed by Mozambican army na sio hile jeshi lenu maskini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116]
TPDF hawajawahi kushindwa vita yoyote ile, hao magaidi walifanya makosa sana kuishambulia Tanzania, huo ndio mwisho wao kama ilivyokua kwa M23 huko DRC
IMG_20201210_235445_261.JPG
 
Ninyi Alshabaab wanawatia vidole tangu 2011, hopeless army. Ndani ya wiki mbili tumemaliza mchezo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Do you really know how to read?[emoji23][emoji23][emoji23]. Mbona unakuanga mjinga hivi?[emoji1787][emoji1787]. Your army is one of the weakest in the continent[emoji23][emoji23]
IMG_20201210_235445_261.JPG
 
Hile jeshi maskini hata haiezitetemesha Burundi[emoji23][emoji23]
Hawajamaa isingekua Tanzania, wangekua tishio kama ilivyo Boko Haram, Alshabaab, ISIS na Sahel, walianza kuwa gumzo duniani kwa jinsi walivyokua wakiteka maeneo huko Msumbiji, jeshi la Msumbiji lilikua limeshapoteza "ground" kwa zaidi ya miaka mitatu sasa, tumelimaliza hilo tatizo ndani ya wiki mbili pekee.
 
Wewe ni kondoo[emoji23][emoji23][emoji23]. Unapost link hapa na hata husomii[emoji1787][emoji1787]. Your link is saying something different from what you are preaching[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji116][emoji116]
IMG_20201210_235445_261.JPG
 
Do you really know how to read?[emoji23][emoji23][emoji23]. Mbona unakuanga mjinga hivi?[emoji1787][emoji1787]. Your army is one of the weakest in the continent[emoji23][emoji23]View attachment 1646606
Hahaha, kwa miaka mitatu sasa, jeshi la Mozambique halijawahi kuwaua terrorists hata kumi, baada ya JWTZ kuanza madhambulizi ndio Jeshi la Msumbiji linaanza kupata ushindi na kukomboa maeneo yote yaliyokua chini ya magaidi.

Kabla ya JWTZ kuingia Msumbiji, magaidi walikua kila siku wanateka miji na visiwa huko Msumbiji kwa zaidi ya miaka mitatu sasa, lakini baada ya magaidi kuishambulia Tanzania, ghafla magaidi wameanza kushindwa na kupoteza maeneo yote walitoyateka kwa miaka mitatu sasa, bado unadhani ni jeshi la Msumbiji?[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Si mlisema ndege za Tanzania ni za kisiri, ni aje tena hizi mbili zimepatikana?[emoji23][emoji23][emoji1787]. Haya onyesha hizo zingine mbili za mwisho hili zikuwe nne alafu tufunge chapter[emoji23][emoji23][emoji1787]

if they were easily available hizo nyingine si tungekuwa tumezipata haraka.. hapo vip siri au sio siri?
 
Wewe ni kondoo[emoji23][emoji23][emoji23]. Unapost link hapa na hata husomii[emoji1787][emoji1787]. Your link is saying something different from what you are preaching[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji116][emoji116]View attachment 1646609
Jinga wewe, ulitaka tuseme ni Jeshi la Tanzania wakati hatujatangaza officially kwamba tupo Msumbiji?. internationally hatujulikani kama jeshi letu lipo huko, vipi unataka tutangaze kwamba ni JWTZ?, tupo Msumbiji kusaidia jeshi la Msumbiji, kwahiyo lazima msemaji ni jeshi la Msumbiji.
 
Hahaha, kwa miaka mitatu sasa, jeshi la Mozambique halijawahi kuwaua terrorists hata kumi, baada ya JWTZ kuanza madhambulizi ndio Jeshi la Msumbiji linaanza kupata ushindi na kukomboa maeneo yote yaliyokua chini ya magaidi.

Kabla ya JWTZ kuingia Msumbiji, magaidi walikua kila siku wanateka miji na visiwa huko Msumbiji kwa zaidi ya miaka mitatu sasa, lakini baada ya magaidi kuishambulia Tanzania, ghafla magaidi wameanza kushindwa na kupoteza maeneo yote walitoyateka kwa miaka mitatu sasa, bado unadhani ni jeshi la Msumbiji?[emoji23][emoji23][emoji23]
Endelea kuandika insha[emoji23][emoji23][emoji23]
IMG_20201210_235445_261.JPG
 
Back
Top Bottom