Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

it’s very rare naziona hizi helicopters na ndege za jeshi.. but majamaa wanasema hatuna helicopters wala ndege
IMG_1607634911.815646.jpg
IMG_1607634925.550582.jpg
 
Jinga wewe, ulitaka tuseme ni Jeshi la Tanzania wakati hatujatangaza officially kwamba tupo Msumbiji?. internationally hatujulikani kama jeshi letu lipo huko, vipi unataka tutangaze kwamba ni JWTZ?, tupo Msumbiji kusaidia jeshi la Msumbiji, kwahiyo lazima msemaji ni jeshi la Msumbiji.
IMG_20201210_235445_261.JPG
 
it’s very rare naziona hizi helicopters na ndege za jeshi.. but majamaa wanasema hatuna helicopters wala ndege
View attachment 1646618View attachment 1646620
Hakuna mwenye alikuomba helicopter ya polisi. Mimi nataka kuona helicopters za Tanzania airforce department. Venye unaendelea hivi utatuonyesha hadi ndege za ATCL and Precision Air
 
Nigeria imeomba Tanzania kuisaidia katika kupambana na Boko Haram, ndio ujue kwamba jeshi letu sio mchezo. Kama Magufuli atakubali kupeleka jeshi, huo ndio mwisho wa Boko Haram
Ebu tuonyeshe penye Nigeria iliwaomba
 
Kwanza lazima ukubali kwamba Jeshi letu ndio jeshi bora katika ukanda huu
Maybe in another planet. Here is the list of the strongest armies in East Africa
1. Ethiopia
2. Kenya
3. Uganda
4. Tanzania



 
Hakuna mwenye alikuomba helicopter ya polisi. Mimi nataka kuona helicopters za Tanzania airforce department. Venye unaendelea hivi utatuonyesha hadi ndege za ATCL and Precision Air

nilitaka nikupotezee.. ila ngoja niulize hii.. helicopter ya police iko wap hapo?
 
Nigeria imeomba Tanzania kuisaidia katika kupambana na Boko Haram, ndio ujue kwamba jeshi letu sio mchezo. Kama Magufuli atakubali kupeleka jeshi, huo ndio mwisho wa Boko Haram
Wakati Kabudi anayasema yale maneno kwa wale wabunge wa Ulaya nilijuwa teyari kazi huko Msumbiji imeisha, hawa jamaa usihangaike nao, wao wanafikiri kila kitu ni kuongea ongea, hawajui sisi ni kupiga "kimasiala" tuu.
 
Maybe in another planet. Here is the list of the strongest armies in East Africa
1. Ethiopia
2. Kenya
3. Uganda
4. Tanzania



Orodha ya ubora halisi haitokani na idadi ya vifaa vya jeshi, vifaa ambavyo hata hatuna uhakika (tangu lini majeshi yakasema siri zake?). Ubora wa jeshi ni ushindi wa operations, and we do just that.
 
Orodha ya ubora halisi haitokani na idadi ya vifaa vya jeshi, vifaa ambavyo hata hatuna uhakika (tangu lini majeshi yakasena siri zake). Ubora wa jeshi ni ushindi wa operations, and we do just that.
Mara nyingi hizi tafiti za nguvu za kijeshi za nchi mbalimbali huwa ni za kubumba (kuunga unga) tu. Hakuna nchi ambayo inadisclose military power yake (vifaa vya kivita, technology na strategies) kijnga jinga hivyo kwa public consumption. Nchi nyingine kiwemo Tanzania taarifa zake za kijeshi huwa siyo rahisi sana kuzipata kuanzia kununua silaha na aina ya vifaa mbalimbali vya kijeshi. Kwa baadhi ya nchi kama Egypt, South Africa, Morocco na hata kidogo Nigeria naweza kuafiki kwa sababu ya economic power yake lakini hizi nyingine kajamba nani siafiki moja kwa moja labda kuwe na ushahidi wa moja kwa moja unaoeleweka.
 
Do you really know how to read?. Mbona unakuanga mjinga hivi?. Your army is one of the weakest in the continentView attachment 1646606
Sasa kama Tanzania army is the weakest je na Kenyan army utasemaje😂😂 the irony in this is soo crazy... nasiku kenya mkineng'eneka tu mkaingia kumi nanane nakwambia vita vya idiamini itakua cha mtoto..
 
We have so many "engineers" in the house . The other day, one of these "engineers" was saying that pillars za Nairobi expressway are so tall and thin and that hiyo expressway itaanguka. Now this one again! Phew!!
So many "engineers"? Where are those u call so many? 2000?
 
Back
Top Bottom