Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Attachments

  • Screenshot_20201210-215237_DuckDuckGo.jpg
    Screenshot_20201210-215237_DuckDuckGo.jpg
    91.8 KB · Views: 4
  • Screenshot_20201210-215358_DuckDuckGo.jpg
    Screenshot_20201210-215358_DuckDuckGo.jpg
    38 KB · Views: 7
hilo eneo lina maji throughout na mvuke kwa wingi.. na juu kuna daraja la chuma na sio concrete bridge!! hiv lifespan yake hapo wamesema ni miaka mingap?🤦🏽‍♂️ sidhan kama litazidi miaka kumi hili
hata akili za kuzaliwa nazo hawajazituma
We have so many "engineers" in the house 😂 😂. The other day, one of these "engineers" was saying that pillars za Nairobi expressway are so tall and thin and that hiyo expressway itaanguka. Now this one again! Phew!!
 
Kwn uliskia hakuna usafiri wa kukupeleka stage za mabasi, mbona una wehuka we jomba..
Zipo sehemu maalum ambazo utakuta ofisu za mabasi zimetapakaa..

Yani hyo yote unaskia uchungu kuona capitalist kila mtu ana fight kivyake kukuza uchumi wala hatutegemei kila kitu kutoka kw serekali.

Sent using Jamii Forums mobile app
Capitalist kila mtu anafight kivyake wapi,,
Serikali haina hela na wachina hawataki kuwekeza kwenye bus stand!!!
Kama ni capitalist mbona Airport hamjawaambia kila company ijenge airport yake??
 
Capitalist kila mtu anafight kivyake wapi,,
Serikali haina hela na wachina hawataki kuwekeza kwenye bus stand!!!
Kama ni capitalist mbona Airport hamjawaambia kila company ijenge airport yake??
You reason like a toddler, wewe ushaiona nchi gani raia wake wakijenga airports?
 
Back
Top Bottom