Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Vice president hapo ni yeye mpka ilikua aapishwe mwingine
emoji23.png
emoji23.png

Unajua kitu inaitwa ku handover madaraka


Sent using Jamii Forums mobile app
Anataka kusema kwamba wakati wa kufanya campaign na uchuguzi kuna power vacuum huko kwao. Hio inaweza kufanyika tu LDC 😂😂😂
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] so walioandika mgombea mwenza hawana akili kwann hawakuandika makamu wa rais???
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Niko sure hadi Mapadlocks pia alipenda hiyo ndege, acha tu nitafute picha[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna mtu humu kumbe ndio hua anafanya procurements za vifaa vya jeshi la tanzania 🤣🤣🤣🤣 anajua kila kitu
 
Acha kuongeza number[emoji23][emoji23][emoji23], nilisema mko na helicopters nne[emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Sijaona sehemu wameandika tanzania ina airbus helicopter nne tu sinaona hio sentesi ukipata unitag[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom