Shebby01
JF-Expert Member
- Nov 11, 2020
- 2,520
- 5,872
😂😂😂😂Uyo ni demu co bro.
😂😂😂😂Uyo ni demu co bro.
Daladala zinapaki wapi


Si mwanza ni city bana, tunataka kuona public transport mwanza vitu vinqpaki wapiHio hujaipenda kwanza![]()


Kenya hakuna vijiweUmewahi kwenda states??!?
Au ndo story za vijiweni?
garimoshi kama "lenyu" tena tayari lime-break down tayari! Kenya and Nigeria r birds of the same feathers!Akuna cha mana hapo...au huo mkichwa ndio unaona utabadilish poor SGR from chinese? Just look at that viaduct(bridge) its like unfinished work the same as yours....izo behewa ni km za kunya tuu...in short nothing special at all, ng'ombe mwenye pimbi wwView attachment 1645762
So umepanic 🤣🤣🤣🤣
Mwanza huiwezi wewe wachana nayo kabisa ww tafuta sector nyingine lakini sio bus stage hio wachana nayo 🤣🤣🤣Si mwanza ni city bana, tunataka kuona public transport mwanza vitu vinqpaki wapi
Km hakuna uache kelele na stendi za mabasi ambazo sisi sio kipaumbele kwetu
Sent using Jamii Forums mobile app
Who asked you?


Angalia video vzr utajua zinapaki wapi au video hujaangalia 🤣🤣🤣🤣Daladala zinapaki wapi
Manake km ni sisi mabasi ya mikoani hatuyajengei stendi..
Sent using Jamii Forums mobile app
So hutaki kuona hzo 🤣🤣🤣🤣 mkikosa bus stage munasingizia kila bus ina ofisi zao na hii utumbo munajenga ya nn sasa🤣🤣🤣👇👇👇Unatuletea stendi za mabasi ya mikoani wakati hku kwetu kila kampuni wana ofisi zao..
Nataka kuziona za daladala mijini
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa akili yako level huwa chini ya ardhi!??..nyie mbona vilaza sana!!..ile ya ardhini ndo level ya kwanza ndo huitwa ground level,inayofuata ni level ya pili kwenda juu,ile ya chini ya ardhi si level,ila inaitwa below the ground level,huitwa tunnel..jifunze maana ya neno "level" acha bishani za kijingaTatizo sio kukubali, hapa nataka kukujuza maana ya level ndio uelewe..
Hapo pa wewe kukubali au kukataa hainihusu bora ukweli uwe umekuingia kujua maana ya level ni nini
Hahahaha, kila kampuni wanasimama katika ofisi zaoUnatuletea stendi za mabasi ya mikoani wakati hku kwetu kila kampuni wana ofisi zao..
Nataka kuziona za daladala mijini
Sent using Jamii Forums mobile app



, tukiwaambia ninyi ni failed state mnakasirika🤣🤣🤣🤣🤣🤣 kashaelewa kua pangani ni two level interchange na kashajua hawana three level interchangeKwa akili yako level huwa chini ya ardhi!??..nyie mbona vilaza sana!!..ile ya ardhini ndo level ya kwanza ndo huitwa ground level,inayofuata ni level ya pili kwenda juu,ile ya chini ya ardhi si level,ila inaitwa below the ground level,huitwa tunnel..jifunze maana ya neno "level" acha bishani za kijinga
Hasira zote zimekuja baada ya kugundua hawana three level interchange 🤣🤣🤣Kwa akili yako level huwa chini ya ardhi!??..nyie mbona vilaza sana!!..ile ya ardhini ndo level ya kwanza ndo huitwa ground level,inayofuata ni level ya pili kwenda juu,ile ya chini ya ardhi si level,ila inaitwa below the ground level,huitwa tunnel..jifunze maana ya neno "level" acha bishani za kijinga
Ndio sababu ninyi ni failed state, kwahiyo kama kuna kampuni 300 kila kampuni lina ofisi yake, abiria anapaswa kutafuta na kujua ofisi zote 300 zilipoDaladala zinapaki wapi
Manake km ni sisi mabasi ya mikoani hatuyajengei stendi..
Sent using Jamii Forums mobile app




"is a not a swahili word"You're just confirming how foolish you are. Did you ever attend the pronunciation class?Are "beds" and "birds" pronounced the same?
Do they have the same meaning?
Alafu hiyo "co" is a not a Swahili word
![]()