Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ulaya kwani hawanunui vipya??[emoji116][emoji116]
Tanzania kama Ulaya[emoji23][emoji23]
12585938_brtpic_jpege4165b1577a261f6e62b20ff04f5d701.jpeg
 
Nenda kalilie ndani....ukimaliza ukumbuk nyie hakuna kitu mnaweza nunua new apart from used one[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hata nilisikia DART wanatakakuuza magari yao ya zamani maana wameagiza mapya waambie wakenya wamshitue uhuru ayawahi kabla hayajaisha.. maana wao ndo wazee wa second hand.
 
Kwn siku hizi mnajilinganisha na mabeberu[emoji23][emoji23]
Yani wakenya tunapowatolea mifaano na ulaya mnakataa na kutuona wajinga leo mnajilinganisha nyie sio...

Kwnza una ushahidi gani km hapo ulaya

Sent using Jamii Forums mobile app
Uehhehehehehehehehehehrhehehehehr BRT inawatoa ushuzi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 na mutaisubiri yesu ashuke awaletee
 
Acha kudandia treni kw mbele wewe, alafu mbna unajichanganya we bwege kumbe wajua kuna below ground level na ground level kisha hapo hapo unataka kukataa..

Haya toa neno level katika "below ground level" km hutaki iitwe level..

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo "below ground level" si term bali ni sentensi inayo-describe kilichopo under the ground level yaani tunnel,level sharti iwe kutoka kwenye uso wa dunia kuelekea juu..
 
Hiyo "below ground level" si term bali ni sentensi inayo-describe kilichopo under the ground level yaani tunnel,level sharti iwe kutoka kwenye uso wa dunia kuelekea juu..
Kama hawajaelewa hapa basi itakua ni laana 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Jibu swali jnapohesabu from the ground unakwenda huu au chini au na hili pia linahitaji ramli[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nimekujibu kw ufasaha sana, yani unavyotaka wewe basi ubungo itakua two level[emoji23][emoji23][emoji23]
Au hutaki tena..
We unafikiria levels huhesabiwa km floors sio[emoji23][emoji23]..

Hapa hutoki zee la floors

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekujibu kw ufasaha sana, yani unavyotaka wewe basi ubungo itakua two level[emoji23][emoji23][emoji23]
Au hutaki tena..
We unafikiria levels huhesabiwa km floors sio[emoji23][emoji23]..

Hapa hutoki zee la floors

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama hutaelewa hapa mzee tuliza kipumulio🤣🤣👇👇👇
Hiyo "below ground level" si term bali ni sentensi inayo-describe kilichopo under the ground level yaani tunnel,level sharti iwe kutoka kwenye uso wa dunia kuelekea juu..
 
Back
Top Bottom