The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
Wacha ufalamanga, mbn kiswahili huwa tunaandika "co" badala ya "sio" iweje unashangaa "beds" badala ya "birds"Hakunanga "beds of the same feathers". Hiyo umejitungia ama?
![]()
Wacha ufalamanga, mbn kiswahili huwa tunaandika "co" badala ya "sio" iweje unashangaa "beds" badala ya "birds"Hakunanga "beds of the same feathers". Hiyo umejitungia ama?
![]()
Kwn interchange huaga ina floorsSo gorofa mkihesabu floors munaanza kuhesabu wapi???leo nafunzwa na kilaza kutoka kenya



Tatizo sio kukubali, hapa nataka kukujuza maana ya level ndio uelewe..So umekubali kua pangani ni two level sawa au sio![]()
Unabishana na engineer waliunda design na kusema ni three level ten years ago sioManake leo imekua theee level baada ya ubungo kukamilika huko nyuma haikua three level au ndio munaforce ili musitoe machozi![]()


Dua yako haimfanyi israeli kutotinga tanzania na kuchukua roho za watu km kawa..Naomba madaktari waendelee kufa mpaka BBI itakapokamilika
Umeweka ili watu waone na co ww uone mana ww binafsi unajijua so accept challenges Mana umetaka mwenyewe.We avatar yangu inakuhusia nn jamani, mbna hamjui ku mind vitu vyenu..we fuata kilichokuleta hapa..
Wala hutonikuta mimi nahangaika na avatar za wengine
Kwani wanapoita level wanamaanisha nn ??🤣🤣🤣🤣🤣Kwn interchange huaga ina floors
Tena pia maana ya floors hujui pia..
Inabidi nianze kukufundisha online jomba
🤣🤣🤣🤣👇👇👇 sio mm niliosema usinilaumu mmDua yako haimfanyi israeli kutotinga tanzania na kuchukua roho za watu km kawa..
Kwhyo kote kote tu lazima waru wafe
Hii hasira yote imeletwa kwasabbu mumekosa three level interchange 🤣🤣🤣👇👇👇👇👇Kwn interchange huaga ina floors
Tena pia maana ya floors hujui pia..
Inabidi nianze kukufundisha online jomba
Ss hao wakenya wamepiga picha tu hyo inaruhusiwa.Hahahah!!unafikiria USA ni nchi ya kitopolo, kule ma snitch kibao hapo km ingelikua hairuhusiwi hakungelikosekana mzungu kuvuta waya juu kw 911 ungeliona vile hao jamaa wangekisimamishwa na kupewa tiketi zao kwanza vile ni blacks..
Achana na wazungu kw usnitch wewe, hata akikuona ume tress pass sehemu ambayo haimuhusu haswa bado atakupeana sana sana wanawake wao
Ona mazingira yalivyo safi pia watu hawabebi madumuHakuna tofauti kati ya hawa abiria na gunia ya viazi. Ona venye wanafinyana
View attachment 1644472View attachment 1644474



Look at this foolWacha ufalamanga, mbn kiswahili huwa tunaandika "co" badala ya "sio" iweje unashangaa "beds" badala ya "birds"


, beds and birds are not the same and will never be the same. Does beds have feathers?



. Show me anywhere in this world where the word "birds" has ever been substituted with the word "beds". My friend I think you should just stick to Swahili instead of embarrassing yourself


.HApa naona dwarf zimejaa jengo refu floor 5. Wakati kkoo jengo fupi floor 4.Hapa hakuna tofauti na hii small part of Mombasa,hakuna cha ajabu
View attachment 1644484
nairobi, i mean Kenya nzima haina soko na stand kama hiyo! Kuna mtu anabisha?
hamna maji Nairobi huyo jamaa anayebisha nina uhakika hajakoga vizuri kwa mwaka mzima!Ona mazingira yalivyo safi pia watu hawabebi madumu![]()
Mbona huwa mnapenda kuaribu jina ya "ultra modern"?




Khee!!katiba gani hyo inayoruhusu kupiga picha sehemu ambayo haparuhusiwi hata kuvukaSs hao wakenya wamepiga picha tu hyo inaruhusiwa.