Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

hilo hatuwezi kukataa.

lakini tatizo ni pale jiji lililopangwa shaghala baghala linaposumbua jiji,lililopangiliwa kisawa sawa[emoji23][emoji23][emoji23]

ndio hii maneno yote hukutoka komora096
Kwhyo umekubali[emoji1787][emoji1787]
Nairobi haina vijiji bana
 
unazunguka sana......nishakwambia mimi hizo tasrifa sizijui ,,we ndiye unayezijua basi hebu tupe kiundani ili jamii tujue....

chaajabu unaenda mwisho wa siku unarudia hapo hapo
Taarifa gani babaa..
Km ni jamii tayari tulishaambiwa marehemu wote siku hizi ni complications.

We sasa unatakiwa uunge mkono km wale wabunge wamefariki kw ajili ya ukosefu wa upumuaji lkn hutakiwi kusema sio covid hapo itakua unatoka nje ya mada..

Usitake kupindisha kitu ambacho hakiendani na upande unaoutaka wewe, manake ukianza kwenda hko utaulizwa swali moja tu..
Marehemu kapimwa lini?

Kwaheri lkn
 
kumbe walikufa...? ,tena kwa complications...?..
aisee mi hizo taarifa hata sizifahamu ,we ndiye mtu wa kwanza kunipa hiyo taarifa....

asante sana kwa kunijuza dokta wanjigu
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] sasa kwa akili yako unadhani dar haijengwi imesimama....
government ndiyo imesimama kujenga high rise building kwa sasa hatujawekeza huko hasa ksa dar harakat zinaendelea dodoma

wakenya bhana mna ujinga mwingi
Mkiambiwa ukweli mnalia, sasa ni nini mmejenga kule Dodoma?[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Picha ya nyumba za chini pamona na maghorofa huaga zinakaa hivi hapa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Maeneo ya kawaida hayo tu, si we mwnywe unajionea maghorofa na nyumba za chini zilivyokaaView attachment 1640774
Sasa na hile picha unapaswa kuweka yenye kuonyesha nyumba zenyewe zionekane, hata kama ni mbovu, barabara zionekane hata kama zinamashimo, wewe unaweka picha barabara hazionekane kama kuna mashima au madimbwi, hata kituo cha Mwrndokasi kinaonekana roof tu, weka picha kituo cha mwendokasi kionekane sura yake.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
tupate wazamini kidogo[emoji1241]

nyan'gau karibuni mogoroto forest mje msafishe ata macho
20201204_180314.jpg
 
Taarifa gani babaa..
Km ni jamii tayari tulishaambiwa marehemu wote siku hizi ni complications.

We sasa unatakiwa uunge mkono km wale wabunge wamefariki kw ajili ya ukosefu wa upumuaji lkn hutakiwi kusema sio covid hapo itakua unatoka nje ya mada..

Usitake kupindisha kitu ambacho hakiendani na upande unaoutaka wewe, manake ukianza kwenda hko utaulizwa swali moja tu..
Marehemu kapimwa lini?

Kwaheri lkn
Hakuna taarifa yoyote iliyotolewa kuhusu sababu ya vifo vyao, kama ambavyo wabuge wengine kabla ya Covid19 walipofariki, sababu za vifo vyao hazikutolewa na ofisi ya bunge, ndugu ndio wenye jukumu la kutaja sababu iliyosababisha kifo cha ndugu yao, hiyo ulisikia toka wapi kwamba ni complications za kupumua?

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
imechukua 4yrs kujenga majengo yote marefu dsm.

so hiyo league tunajua hamtuwezi,hivyo saa hizi wacha tuguse miundombinu kwanza.

i hop hii itakuwa ya pili kwa urefu baada ya ile pinnacle.
Hawajui majengo yote serikali inayojenga Dodoma kwa sasa yakichanganywa ni mara 100 ya shughuli zote za ujenzi Kenya nzima
 
Back
Top Bottom